CHINA ni application gani wanayotumia kama WhatsApp!?

View attachment 1712441
Wechat ndio tunatumia sana sana na pia QQ , ila mitandao mingine ambayo si ya kichina mara nyingi ni mwendo wa VPN kama uonavyo hapo juu ila wageni tushazoea , wechat is way cooler than whatsapp nataman whatsapp ingekuwa kama wechat [emoji123][emoji1544][emoji123]
There is beauty in simplicity, wechat ina mambo meng kama ilivyokuwa yahoo enzi zile
 
Yh man , whatsapp ni umbea wakati ukija wechat we do everything at once , bookings and payments n different stuffs , kusoma classes and mikutano makazini etc etc yani wako equipped , JACK MA sio mtu wa mchezo na whatsapp wanamgeza soon wanaanzisha whatsapp money kama wechat walishasema hvyo muda kidgo
 
Group lakuagiza mizigo aina gani mana namimi nashida na mzigo huko china ila WhatsApp hawana nao taka kuchukulia mzigo.
almost all home accessories, viatu, laptops, medical equipments na vingine vingi..karibu mkuu
 
Yh man , whatsapp ni umbea wakati ukija wechat we do everything at once , bookings and payments n different stuffs , kusoma classes and mikutano makazini etc etc yani wako equipped , JACK MA sio mtu wa mchezo na whatsapp wanamgeza soon wanaanzisha whatsapp money kama wechat walishasema hvyo muda kidgo
Hiyo ndiyo inaifanya isiwe user friendly, ni vile apps nyng huko zimefungiwa na watu hawana option. Yah walifanya majaribio India na Brazil na wakalaunch Brazil mara serikali ikazuia.
 
View attachment 1712441
Wechat ndio tunatumia sana sana na pia QQ , ila mitandao mingine ambayo si ya kichina mara nyingi ni mwendo wa VPN kama uonavyo hapo juu ila wageni tushazoea , wechat is way cooler than whatsapp nataman whatsapp ingekuwa kama wechat [emoji123][emoji1544][emoji123]
Kwenye group zako mkuu msaada hapo kwenye iyo group la discount product
 
Back
Top Bottom