CHINA ni application gani wanayotumia kama WhatsApp!?

nashindwa kuwaelewa..tuna group WhatsApp la kuagiza bidhaa kutoka china na huwa tunachat vzur tu na jamaa anaetutumia mizigo yetu, si kweli kwamba ipo completely blocked
 
IMG_6272.png

Wechat ndio tunatumia sana sana na pia QQ , ila mitandao mingine ambayo si ya kichina mara nyingi ni mwendo wa VPN kama uonavyo hapo juu ila wageni tushazoea , wechat is way cooler than whatsapp nataman whatsapp ingekuwa kama wechat
 
nashindwa kuwaelewa..tuna group WhatsApp la kuagiza bidhaa kutoka china na huwa tunachat vzur tu na jamaa anaetutumia mizigo yetu, si kweli kwamba ipo completely blocked

Group lakuagiza mizigo aina gani mana namimi nashida na mzigo huko china ila WhatsApp hawana nao taka kuchukulia mzigo.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom