China na Urusi zaungana kuikabili Marekani

China na Urusi zaungana kuikabili Marekani

washirika wa Urusi.
1.China
2.Cuba
3.Iran
4.North Korea
5.Venezuela
6.Syria
7.Bolivia
Washirika wa Marekani.
1.UK
2.Germany
3.France
4.Japan
5.South Korea
6.Israel
7.Canada
Piga hesabu mwenyewe ni nani atashinda vita?

No 1 watashinda mapema tu,, hawana propaganda kama za wale pimbi


Hapo umewasahau PAKISTAN, TURKEY, LEBANON AND INDIA hawa lazima wajiunge na namba 1
 
washirika wa Urusi.
1.China
2.Cuba
3.Iran
4.North Korea
5.Venezuela
6.Syria
7.Bolivia
Washirika wa Marekani.
1.UK
2.Germany
3.France
4.Japan
5.South Korea
6.Israel
7.Canada
Piga hesabu mwenyewe ni nani atashinda vita?
Hapo hakuna ubishi octa america inachukua ushindi asubuhi na mapema
 
Hapo hakuna ubishi octa america inachukua ushindi asubuhi na mapema
Wachina wanapigana na Marekani kiuchumi, sio ki silaha kama wengi tunavyofikiri! Marekani kanyosha mikono kwa Mchina kwenye uchumi! Mpaka anakimbilia kuongeza kodi kwenye bidhaa kutoka China na Ulaya ili kulinda masoko na viwanda vya ndani. Nayo hii haimsadii sana kwa sbb China nayo imepiga kodi kubwa kwenye import za kutoka USA. By the way viwanda vingi vya Wamarekani vimehamia China kwa abb ya profit kubwa inayotokana na cheap labour. Naongelea General Motors, Apple nk.
 
NATO,nchi 29+ dhidi ya Kinyau kimoja ambacho ni Russian Federation.Sasa hapa sijui tuite Simba wa makaratasi dhidi ya vinyau viwili.!
Ulikusudia kuchangia mada gan?! Make mada hii ni pusi wawili China na Russia kuungana dhidi ya simba dume lenye meno makali US.
 
Ulikusudia kuchangia mada gan?! Make mada hii ni pusi wawili China na Russia kuungana dhidi ya simba dume lenye meno makali US.
AAAH hujaelewa nini Mkuu? wewe umesema vinyau viwili,Yaani kinyau China na kinyau Urusi vimeungana kumkabili Simba.Sasa na mimi nakuambia hivi,kinyau kimoja tu yaani Urusi kinamsumbua Simba mmoja na familia yake ya simba 29+ yaani Marekani na membe wengine 28 wa umoja wa NATO! Una makengeza wewe?
 
NATO,nchi 29+ dhidi ya Kinyau kimoja ambacho ni Russian Federation.Sasa hapa sijui tuite Simba wa makaratasi dhidi ya vinyau viwili.!
kwenye vita hii wingi si hoja, hujawahi kusikia mrusi ana bomu la kuizamisha ufaransa baharini kwa sekunde tu, unadhani liko moja?
 
Turning and turning in the widening gyre The falcon cannot hear the falconer;Things fall apart; the centre cannot hold; Mere anarchy is loosed upon the world, The blood-dimmed tide is loosed, and everywhere
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu Simba akigeuka akaunguruma tu wote nduki
Kwanza ndio maana marekan hata haon haja ya kujibu manake anaona ni Mr.Bean na Cosby wamekutana eti kuwa doctors...kuna mgonjwa wa kupona kweli..
 
Mjermani ana mahusiano na urrusi ktk masuara ya kijasusi,kuna kipindi mjerumani aliwahi kupewa taarifa na K.g.b. ya urussi kuwa awe makini anapelelezwa na marekani kuna kipindi ufaransa na ujerumani ziliwahi kuishutumu sn marekani na zilitoa matamko makali sn.
Edward Snowden anachafua sana dunia tokea aondoke pale marekani amemwaga siri nyingi sana
 
Back
Top Bottom