Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,730
- 3,525
Tena nashangaa hao NATO wengi wanadukuliwa lakini huyo Nyau wameshindwa kuduku mawasiliano yakeMjermani ana mahusiano na urrusi ktk masuara ya kijasusi,kuna kipindi mjerumani aliwahi kupewa taarifa na K.g.b. ya urussi kuwa awe makini anapelelezwa na marekani kuna kipindi ufaransa na ujerumani ziliwahi kuishutumu sn marekani na zilitoa matamko makali sn.