China imeanza majaribio ya teknolojia ya 6 G

I_manyota

Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
48
Reaction score
44
Yep yep kina jet li washaanza fanya mambo yao sio bado tunangaika na 4G wenzetu wanawaza yajayo.

Mzigo utakua tayari by 2030 kwasasa mzigo uko kwenye majaribio na juzi juzi hapa wametoka kurusha satellite [emoji930] yao.

Hawa watu moto sana kama walivyofanya kwenye 5G, naona sasa wanaipeleka dunia wanavyotaka wao[emoji23][emoji23] .
Juzi tu Huawei katoa simu yenye 5G moja kuntu imebidi wengine wabadirishe upepo faster na unaambiwa china ndio nchi inayoongoza kwa matumizi ya 5G zikufuata korea ya kusini na marekani.

5G bado mpya sana si mataifa yote yanayotumia hyo tech tena kwa asilimia kubwa kama ilivyo kwa 4G so ni kipindi cha mabadiriko nchi ziko kwenye harakati za ku install mifumo ya 5G, na unajua Marekani kashaweka nongwa kuhusu kampuni ya china ya Huawei.

Huawei ni kampuni kubwa sana na jnaongoza kwenye hyo sekta kwa kutoa huduma nzuri na kwa gharama nafuu makampuni mengi duniani hasa ulaya yamekua yakitumia teknolojia ya Huawei kwenye kutoa huduma zao za internet connection kwa wateja wao. Yote kwa yote china imeapa kuilinda kampuni hiyo kwa gharama zozote.

Kubwa linategemewa kwenye 6G ni kuwa na kasi ya kunwa mnoooooo ya hadi 1TB yani unaweza download movie 400 kwa dakika [emoji15][emoji15]nomaaa na nusu
 
Yep yep kina jet li washaanza fanya mambo yao sio bado tunangaika na 4G wenzetu wanawaza yajayo....
Hii inakuja na risks zake, badala ya kukenua na kuchekelea this kind of tech advancement is worse when gets to the hands of wrong people
 
Ahsante kutujulisha ila hii taarifa kuhusu 6G satelite inanipa maswali mengine.
Hii satelite inafanyaje kazi kuimarisha spidi ya internet maana response ya satellite internet huwa ni ndogo ukilanganisha na fiber?

Standard ya 6G china wameitoa wapi kwa sababu 3GPP(muungano wa makampuni ya telecommunication) hawajainisha standards za 6G na inaweza chukua miaka kuweka hizo specifications.
 
Kwa kuongezea Huawei muda sio mrefu anaachia OS yake. Simu nyingi za Huawei zitapata mfumo huo wa Harmony OS. China inakuja juu sana kwenye swala zima la Technology!
Screenshot_2020-11-14-14-09-58-720_com.gsmarena.android.jpg
 
Ahsante kutujulisha ila hii taarifa kuhusu 6G satelite inanipa maswali mengine.
Hii satelite inafanyaje kazi kuimarisha spidi ya internet maana response ya satellite internet huwa ni ndogo ukilanganisha na fiber?

Standard ya 6G china wameitoa wapi kwa sababu 3GPP(muungano wa makampuni ya telecommunication) hawajainisha standards za 6G na inaweza chukua miaka kuweka hizo specifications.
Yea, hiyo kitu ni kweli ila hata mataifa mengine hasa marekani wako na mpango wa ku lunch satellite nyingi zaidi ili kufix hiyo inshu so far hilo zoezi liko kwenye majaribio mkuu. Lets wait and see nini watakuja nacho au nani atakua wa kwanza kuja na hyo kitu inaweza kuwa Korea Kusini tena au mwengine. Hata mimi bado nina maswali juu ya zoezi hilo.
Speaking kuuidhinisha sina details ila sioni tatizo maana ni kitu ambacho kiko kwenye majaribio sio kwamba kipo tarari kutumika.
 
Na mimi nimekuja kuuliza hili hili.

Sifa ya satelite ni kuwa na latency kubwa. Achana na 5g, even 4g ni faster kuliko Satelite iweje 6g irushwe kwenye satelite?

Wazee wa propaganda kazini.
 
Yep yep kina jet li washaanza fanya mambo yao sio bado tunangaika na 4G wenzetu wanawaza yajayo.

Mzigo utakua tayari by 2030 kwasasa mzigo uko kwenye majaribio na juzi juzi hapa wametoka kurusha satellite [emoji930] yao.

Hawa watu moto sana kama walivyofanya kwenye 5G, naona sasa wanaipeleka dunia wanavyotaka wao[emoji23][emoji23] .
Juzi tu Huawei katoa simu yenye 5G moja kuntu imebidi wengine wabadirishe upepo faster na unaambiwa china ndio nchi inayoongoza kwa matumizi ya 5G zikufuata korea ya kusini na marekani. 5G bado mpya sana si mataifa yote yanayotumia hyo tech tena kwa asilimia kubwa kama ilivyo kwa 4G so ni kipindi cha mabadiriko nchi ziko kwenye harakati za ku install mifumo ya 5G, na unajua Marekani kashaweka nongwa kuhusu kampuni ya china ya Huawei. Huawei ni kampuni kubwa sana na jnaongoza kwenye hyo sekta kwa kutoa huduma nzuri na kwa gharama nafuu makampuni mengi duniani hasa ulaya yamekua yakitumia teknolojia ya Huawei kwenye kutoa huduma zao za internet connection kwa wateja wao.
Yote kwa yote china imeapa kuilinda kampuni hiyo kwa gharama zozote.

Kubwa linategemewa kwenye 6G ni kuwa na kasi ya kunwa mnoooooo ya hadi 1TB yani unaweza download movie 400 kwa dakika [emoji15][emoji15]nomaaa na nusu
Wakati huo serikali yao rafiki na swahiba ya ccm haijaweza hata ku master matumizi ya 4G
 
Yea, hiyo kitu ni kweli ila hata mataifa mengine hasa marekani wako na mpango wa ku lunch satellite nyingi zaidi ili kufix hiyo inshu so far hilo zoezi liko kwenye majaribio mkuu. Lets wait and see nini watakuja nacho au nani atakua wa kwanza kuja na hyo kitu inaweza kuwa Korea Kusini tena au mwengine. Hata mimi bado nina maswali juu ya zoezi hilo.
Speaking kuuidhinisha sina details ila sioni tatizo maana ni kitu ambacho kiko kwenye majaribio sio kwamba kipo tarari kutumika.
Kurusha satellite nyingi hiyo itakuwa starlink na starlink ni mtu binafsi sio marekani.
 
Na mimi nimekuja kuuliza hili hili.

Sifa ya satelite ni kuwa na latency kubwa. Achana na 5g, even 4g ni faster kuliko Satelite iweje 6g irushwe kwenye satelite?

Wazee wa propaganda kazini.
Mkuu hivi starlink itaweza kuwa na kasi yenye nguvu kuliko 4g?
 
sasa hivi kwa madai yao (ambayo yanaweza kuwa ya uongo pia) wana aim sub 20ms ping,

ukiangalia speedtest hizi ni result zake
starlink-tests-980x785.jpg

mitandao kama Halotel na voda inakupa speed zaidi ya hio.

hivyo tunaweza kusema ni equivalent ya 4g.

advantage ya satelite ni coverage tu haina speed na ping kurival fiber na mobile data kama 4g/5g
 
Yep yep kina jet li washaanza fanya mambo yao sio bado tunangaika na 4G wenzetu wanawaza yajayo.

Mzigo utakua tayari by 2030 kwasasa mzigo uko kwenye majaribio na juzi juzi hapa wametoka kurusha satellite [emoji930] yao.

Hawa watu moto sana kama walivyofanya kwenye 5G, naona sasa wanaipeleka dunia wanavyotaka wao[emoji23][emoji23] .
Juzi tu Huawei katoa simu yenye 5G moja kuntu imebidi wengine wabadirishe upepo faster na unaambiwa china ndio nchi inayoongoza kwa matumizi ya 5G zikufuata korea ya kusini na marekani.

5G bado mpya sana si mataifa yote yanayotumia hyo tech tena kwa asilimia kubwa kama ilivyo kwa 4G so ni kipindi cha mabadiriko nchi ziko kwenye harakati za ku install mifumo ya 5G, na unajua Marekani kashaweka nongwa kuhusu kampuni ya china ya Huawei.

Huawei ni kampuni kubwa sana na jnaongoza kwenye hyo sekta kwa kutoa huduma nzuri na kwa gharama nafuu makampuni mengi duniani hasa ulaya yamekua yakitumia teknolojia ya Huawei kwenye kutoa huduma zao za internet connection kwa wateja wao. Yote kwa yote china imeapa kuilinda kampuni hiyo kwa gharama zozote.

Kubwa linategemewa kwenye 6G ni kuwa na kasi ya kunwa mnoooooo ya hadi 1TB yani unaweza download movie 400 kwa dakika [emoji15][emoji15]nomaaa na nusu
Sisi wacha tuendelee kuteuana katk mavyeo kibao,kuunda taasisi nyingi zisizo na tija,Kuna TANAPA,harafu Kuna wildlife Authority,Kuna Tanroads,Kuna Tarura,Kuna sumatra,harafu Kuna nini sijuhi,upumbavu mtupu,mtu anaona kuwajengea nyumba viongozi wastaafu,ni faida kwa wananchi
 
Back
Top Bottom