China Executes Official Convicted in $4.7M Bribery Case

Ustaadh

JF-Expert Member
Oct 25, 2009
413
19
A former Chinese official who was in charge of Communist Party discipline was executed today for accepting bribes of more than $4.7 million, the government-run Xinhau news agency reported.

Zeng Jinchun had been sentenced to death in 2008 by a court in Hunan province for taking the money over a nine-year period ending in 2006 and doling out mining contracts and job promotions in return. The court found that he was unable to account for about $1.4 million of his assets. His appeal was turned down in 2009.

Zeng was executed by shooting, according to Xinhua.

Zeng was former secretary of the Chenzhou Municipal Commission for Discipline Inspection of the Communist Party of China.

The execution followed a pledge a day earlier by Communist Party officials in Beijing to root out corruption that has caused civil unrest around the country, The Associated Press noted.
 
Mambo hayo!

Mkuu,


Nafikiri tunahitaji kitu kama hiki hapa kwetu.


Rais aunde tume ya kutubu rushwa na ufisadi, tume huru kama ile ya Desmond Tutu, wote waliojilimbikizia mali na hela waende wakajieleze huko na kuomba msamaha.


Tume iwe na uhuru wa kuchukua ,kuirudisha at least 70% ya muomba msamaha katika hazina ya Taifa. grace period iwe miezi 6 hadi mwaka.


Baada ya hapo tuombe wataalamu wa kichina, wale wa serious crime investigation ya UK na popote waliko serious kufight corruption waje wachunguze watuhumiwa ambao hawakwenda kwa tume ya kuomba msamaha au wale ambao tume imewatilia shaka kuwa hawakusema ukweli.


Watakao patikana na hatia wapate adhabu kama hiyo ya afisa wa kichina.
Tutapata afueni na tutaanza kuirudisha nchi katika maaadili.

Pia kupitia wataalamu hao, tutaijengea uwezo TUKUKURU ku-deal kikweli na rushwa ,sio kiusanii sanii.
 
Mambo hayo!

Ingekuwa tuna sheria kama hii Bongo, basi mafisadi wengi wangekuwa marehemu siku nyingi tu. Huyu kachota $4.7m tu lakini wa kwetu wamechukua $133m kwenye EPA, Meremeta $155m, Richmond/Dowans bado wanachota tu, KCM $7m, Rada $12m lakini wote hawa bado wanapeta!!!

 
kwani tz kuna viongozi? ni wababaishaji tu au WAIGIZAJI,..Wacha tu watupe katiba mpya hapo mabo ndio yatakuwa matamu zaidi.
China hiki nikitu cha kawaida,kwani mwaka jana walimwua Meya wa Beijing kwa kosa la kula rusha kwa maandalizi ya BEIJING OLYMPIC GAMES,mWINGINE alikuwa ni senior Military leader wa ChongChing pia wali muuaa kama kawaida. Huku hata maforeigner wakikamatwa na matawa ya kulevya wanaulikwa kama kawa , tuliona mwaka jana Yule Mwingereza alikamatwa na madawa British PM ki[indi hicho Gordon Brown akamwombea msamaha ..ah wapi jamaa wakakataa na kumu-execute kama kawa.
Ingekuwa tuna sheria kama hii Bongo, basi mafisadi wengi wangekuwa marehemu siku nyingi tu. Huyu kachota $4.7m tu lakini wa kwetu wamechukua $133m kwenye EPA, Meremeta $155m, Richmond/Dowans bado wanachota tu, KCM $7m, Rada $12m lakini wote hawa bado wanapeta!!!

 
Back
Top Bottom