NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,868
- 5,160
Tofautisheni AM(ante meridian) na PM (post meridian).Huu ni mstari wa Greenwich meridian.Huu mstari umepita wingereza mji wa Greenwich ukakatiza Ghana.Longtude yake ni degree 0[emoji16] kwa nn saba isomwe 1???
Habar wanajamvi
Leo nmekutana na changamoto baada ya mwanang kuniuliza swali ambalo sikuwa na majib ya kuridhisha. Swali lenyew n huu utaratibu wa kusoma saa, yaan kwa mfano kwa kama n saa saba mchana, huandikwa 1 badala ya 7.
Huu utamadun ulianzia wap na kwa nn??
Ahsanten na karibun san Wajuv mnijuze
Hiyo ni saa 1, na wazungu wanasoma hivyo hivyo 1, wewe ndo wakosea kusoma saa Saba. Labda nikuulize, kama usiku ni saa sita, kwa nini basi iwe siku inabadilika hiyo saa sita inapofika wakati sita iko katikati??[emoji16] kwa nn saba isomwe 1???
Huo ni mpango wa Devils worshiper . Ndio maana kwa kila saa wameongea Masaa 6. Mfano saa 6 mchana inaandikwa 12. 12-6=6. Mfano saa 1 asbuhi inaandikwa 7. 7-1=6. Huu ni matumizi ya Namna 666 au namba ya Anti christ. Kwann wasingeongeza saa 8. . ?Habar wanajamvi
Leo nmekutana na changamoto baada ya mwanang kuniuliza swali ambalo sikuwa na majib ya kuridhisha. Swali lenyew n huu utaratibu wa kusoma saa, yaan kwa mfano kwa kama n saa saba mchana, huandikwa 1 badala ya 7.
Huu utamadun ulianzia wap na kwa nn??
Ahsanten na karibun san Wajuv mnijuze
Wewe ndiyo fala aisee.Kiswahili ndo kimeleta huu ufala, 07:00am ni seven a.m, yaani masaa 7 toka siku ianze. sasa mswahili akasema saa moja kamili asubuhi. Inshorti siku ya kiswahili inaanza asubuhi siyo saa sita usiku
waswahili, wahabeshi huhesabu siku kuanzia saa moja asubuhi, pale jua linapochomoza hapo wao ndio husema saaa moja na siku imeanza, wazungu siku inaanza usiku, saaa tumia akili siku inaanza jua likichomoza ama usiku wa giza tii usio na alama yeyote
Now look how we contradict ourselves!siku si ina masaa 24 siku inaisha alfajiri, na nyingine inaanza kukipambazuka kipi kigumu kuelewa
ni kwa sababu mswahili hajawahi kuwa na kitu chake, vyoote ameiga isipokuwa umbea, uchawi na ushirikina.sasa kwanini tuhesabu siku kwa mtindo wenye manufaa kwa wasweden wakati sie siku zetu zimekaa kwa kueleweka kuwa saa moja jua litachoza saa kumi na mbili tutazama
wewe ndio hujui waswahili, mnaona walokosa elimu kwnye miji yetu ya siku hizi kuwa ndio waswahli ilhali waswahiki wenyewe walikuwapo mamia ya miaka kabla ya leoni kwa sababu mswahili hajawahi kuwa na kitu chake, vyoote ameiga isipokuwa umbea, uchawi na ushirikina.
mwaka mpya tunao sherehekea sio mwaka mpya wa waswahili huo ni mwaka mpya wa wazungu. nenda zenji kuna sikukuu inaitwa mwaka kogwa huo ndio mwaka mpya wa mswahiliNow look how we contradict ourselves!
Tunahesabu siku kuanzia saa 1; JUA LINPOCHOMOZA! Hapo hapo kuna majira mengine ya mwaka, jua huchomoza kabla ya "saa 1 ya Kiswahili" lakini bado hatuwezi kuita saa moja!! Na nyakati zingine jua huchomoza baada ya saa moja, na bado hapo linapochomoza hatutaita saa moja!!
Sasa ukisikia kukosa uniformity, ndo huko!!
Again, Waswahili na sisi huwa tunasherehekea Mwaka Mpya!! Wakati siku za kawaida tunaanza siku saa 1, siku ya mwaka mpya tunaanza siku at 00:00 (yaani saa 6 usiku) sawa na kwingineko duniani ambako hatutumii timing yao! Sasa kama tunaamini siku inaanza saa 1, kwanini na mwaka mpya tusiukaribishe saa 1?!
Na hii kalenda ambayo kwa mbwembwe zote huwa tunaandika, mathalani kama leo ni 14/06/2019 na ndio pia inayoleta huo mwaka mpya! Je, hiyo kalenda ni ya Waswahili? And assume umeandika ripoti kwa ajili ya Waswahili na umeqandika saa 7 zilizopita ( saa 11 alfajiri ya Kiswahili), na pamoja na mambo mengine, kwenye ripoti husika unatakiwa kuandika tarehe na siku. Je, siku husika ungeandika ni Ijumaa au Alhamisi?mwaka mpya tunao sherehekea sio mwaka mpya wa waswahili huo ni mwaka mpya wa wazungu. nenda zenji kuna sikukuu inaitwa mwaka kogwa huo ndio mwaka mpya wa mswahili
kwa ziada, waarabu waajemi na wayahudi wanaanza kuhesabu siku saa moja usiku.
ndio maana pale mwezi unapoandama huwa jioni na watu hupiga azana kumaanisha siku ya idi imefika, yani ile jioni ya saa kumi na mbili na saa moja wao ndio tarehe mpya huanza
pia, waswahili siku ya kwanza ya wiki ni jumamosi, wakati waarabu na wayahudi siku ya kwanza ni jumapili, wakati huohuo wazungu siku ya kwanza ya wiki ni jumatatu