Amin The Race
Member
- Apr 28, 2019
- 8
- 5
waswahili, wahabeshi huhesabu siku kuanzia saa moja asubuhi, pale jua linapochomoza hapo wao ndio husema saaa moja na siku imeanza, wazungu siku inaanza usiku, saaa tumia akili siku inaanza jua likichomoza ama usiku wa giza tii usio na alama yeyoteHabar wanajamvi
Leo nmekutana na changamoto baada ya mwanang kuniuliza swali ambalo sikuwa na majib ya kuridhisha. Swali lenyew n huu utaratibu wa kusoma saa, yaan kwa mfano kwa kama n saa saba mchana, huandikwa 1 badala ya 7.
Huu utamadun ulianzia wap na kwa nn??
Ahsanten na karibun san Wajuv mnijuze
kwanini ufala usiwe wa wazungu kuhesabu moja usiku wa manane badala ya kuhesabu moja jua likichomozaKiswahili ndo kimeleta huu ufala, 07:00am ni seven a.m, yaani masaa 7 toka siku ianze. sasa mswahili akasema saa moja kamili asubuhi. Inshorti siku ya kiswahili inaanza asubuhi siyo saa sita usiku
Vp hao wazungu kwa nn waanze siku usiku? Kuna kigezo chochote???Kiswahili ndo kimeleta huu ufala, 07:00am ni seven a.m, yaani masaa 7 toka siku ianze. sasa mswahili akasema saa moja kamili asubuhi. Inshorti siku ya kiswahili inaanza asubuhi siyo saa sita usiku
Yaani sio kwamba eti ni saa Saba Ila inasomwa 1, bali pale ndio saa moja yenyewe.Habar wanajamvi
Leo nmekutana na changamoto baada ya mwanang kuniuliza swali ambalo sikuwa na majib ya kuridhisha. Swali lenyew n huu utaratibu wa kusoma saa, yaan kwa mfano kwa kama n saa saba mchana, huandikwa 1 badala ya 7.
Huu utamadun ulianzia wap na kwa nn??
Ahsanten na karibun san Wajuv mnijuze
Asii ume nifanya nijione falaKiswahili ndo kimeleta huu ufala, 07:00am ni seven a.m, yaani masaa 7 toka siku ianze. sasa mswahili akasema saa moja kamili asubuhi. Inshorti siku ya kiswahili inaanza asubuhi siyo saa sita usiku
[emoji16] kwa nn saba isomwe 1???Yaani sio kwamba eti ni saa Saba Ila inasomwa 1, bali pale ndio saa moja yenyewe.
Duhhhalafu ukichukua masaa ya kizungu kutoa 6 jib huwa muda wa kiswahili mf. 8-6=2 au 7-6=1 nawasilisha!
Kiswahili ndo kimeleta huu ufala, 07:00am ni seven a.m, yaani masaa 7 toka siku ianze. sasa mswahili akasema saa moja kamili asubuhi. Inshorti siku ya kiswahili inaanza asubuhi siyo saa sita usiku
Malofa ni sisi kwa sababu wenzetu wanatumia standard timing na sio kuangalia kuchomoza kwa jua kama kigezo cha kuanza siku! Chukulia nchi kama Sweden kwa mfano; kuna nyakati jua huwa linachomoka usiku wa manane na kuzama kuanzia mida ya saa 4-5 usiku! Kama ni Mwislamu na huwezi kuvumilia; unaambiwa funga ya Ramadhani inakuwa ngumu kweli kweli kwa sababu unafunga kwa karibu saa 20!!kwanini ufala usiwe wa wazungu kuhesabu moja usiku wa manane badala ya kuhesabu moja jua likichomoza
sasa kwanini tuhesabu siku kwa mtindo wenye manufaa kwa wasweden wakati sie siku zetu zimekaa kwa kueleweka kuwa saa moja jua litachoza saa kumi na mbili tutazamaMalofa ni sisi kwa sababu wenzetu wanatumia standard timing na sio kuangalia kuchomoza kwa jua kama kigezo cha kuanza siku! Chukulia nchi kama Sweden kwa mfano; kuna nyakati jua huwa linachomoka usiku wa manane na kuzama kuanzia mida ya saa 4-5 usiku! Kama ni Mwislamu na huwezi kuvumilia; unaambiwa funga ya Ramadhani inakuwa ngumu kweli kweli kwa sababu unafunga kwa karibu saa 20!!
Now tell me, kwahiyo ikifika saa 9 usiku unaita siku inaanza na inaisha ikifika wakati gani? Au hata kwa huu mfumo wa Tanzania! Sawa; jua likichomoza siku ndo imeanza; na inaisha jua likizama kwa maana ya saa 12-1 jioni ; au?!
ukimpiga mswahili kibao saa nane usiku asubuhi atasema 'JANA usiku umenipiga kbao' maana kwetu hadi usiku wa manane ni jana, leo inaanza asubuhi kukikuchaMalofa ni sisi kwa sababu wenzetu wanatumia standard timing na sio kuangalia kuchomoza kwa jua kama kigezo cha kuanza siku! Chukulia nchi kama Sweden kwa mfano; kuna nyakati jua huwa linachomoka usiku wa manane na kuzama kuanzia mida ya saa 4-5 usiku! Kama ni Mwislamu na huwezi kuvumilia; unaambiwa funga ya Ramadhani inakuwa ngumu kweli kweli kwa sababu unafunga kwa karibu saa 20!!
Now tell me, kwahiyo ikifika saa 9 usiku unaita siku inaanza na inaisha ikifika wakati gani? Au hata kwa huu mfumo wa Tanzania! Sawa; jua likichomoza siku ndo imeanza; na inaisha jua likizama kwa maana ya saa 12-1 jioni ; au?!
You don't get the point!! Issue ni kwamba, wenzetu wanatumia standard timing inayokidhi mazingira yote! Ndo maana nimekuuliza; kama siku inaanza jua linapochomoza; siku husika inaishia wakati gani?! Inaishia jua linapozama; au? JIBU HILO SWALI!sasa kwanini tuhesabu siku kwa mtindo wenye manufaa kwa wasweden wakati sie siku zetu zimekaa kwa kueleweka kuwa saa moja jua litachoza saa kumi na mbili tutazama
Man, jibu swali kama siku inaanza jua linapochomoza; inaishia mida ipi? Mbona swali lipo straight?! Au unakwepa kujibu kwa sababu unajua jibu lake linathibitisha ulofa wetu?!ukimpiga mswahili kibao saa nane usiku asubuhi atasema 'JANA usiku umenipiga kbao' maana kwetu hadi usiku wa manane ni jana, leo inaanza asubuhi kukikucha
ila mzungu hiyo saa nane hawezi ita yesterday kisa siku inaanza saa sita hivyo kwae kibao cha saa nane usiku ni umempiga leo badala ya jana
ndio mambo yalivyo mimi nayapenda kama yalivyo tutayaenzi
standard timing hiyo ni convention tu watu walikaa chini wakaamua, na wameweza kwaababu ya ushawishi wao hata sie tungekuwa wasomi tungefanya dunia nzima ihesabu siku toka asubuhi nao wangeadapt, mbona sie tumeaadapt kusetu moja kama saba kwenye saa na tunabaki kuita moja bila shidaYou don't get the point!! Issue ni kwamba, wenzetu wanatumia standard timing inayokidhi mazingira yote! Ndo maana nimekuuliza; kama siku inaanza jua linapochomoza; siku husika inaishia wakati gani?! Inaishia jua linapozama; au? JIBU HILO SWALI!
siku si ina masaa 24 siku inaisha alfajiri, na nyingine inaanza kukipambazuka kipi kigumu kuelewaMan, jibu swali kama siku inaanza jua linapochomoza; inaishia mida ipi? Mbona swali lipo straight?! Au unakwepa kujibu kwa sababu unajua jibu lake linathibitisha ulofa wetu?!
FreemasonHabar wanajamvi
Leo nmekutana na changamoto baada ya mwanang kuniuliza swali ambalo sikuwa na majib ya kuridhisha. Swali lenyew n huu utaratibu wa kusoma saa, yaan kwa mfano kwa kama n saa saba mchana, huandikwa 1 badala ya 7.
Huu utamadun ulianzia wap na kwa nn??
Ahsanten na karibun san Wajuv mnijuze