Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,406
- 2,413
Afrika hakuwez kuwa na dini au asili ya imani sababu hamkuwa na utaratibu wa kurekodi matukio kwenye maandishi,wala hakuna formula kila mtu na lake. Ndio maana tunasema mila za kiafrika ni za uongo tu.Ukipata kitabu kinachoelezea chimbuko na evolution za imani na dini za kiafrika kichambue pia
Inaboa kuchambua na kujadili imani za kigeni kila siku
Wenye Mungu wamefanikiwa kurekodi ili kufundisha vizazi vijavyo

ila wachache tu hawajionyeshi