Enter Passcode
JF-Expert Member
- Mar 1, 2024
- 479
- 962
Wakuu
Nafanya hii mishe, wenye kufahamu machimbo yawekeni hapa
Karibuni kwa uzoefu
Nafanya hii mishe, wenye kufahamu machimbo yawekeni hapa
Karibuni kwa uzoefu
Nikuletee size ganiMiwa mitamu iko huku
Mimi ni muuza miwaJe ww ni mkulima au winga?
Tuanzie hapo!!
All the best