Chimba dhahabu kwenye mtandao

wamatinga

Member
Jan 22, 2013
99
15
Wengi wetu tunaogopa mtandao. Chochote kinachohusishwa na mtandao tunakidharau.
Lakini kwenye dunia ya sasa, lazima tukubari kutumia mtandao, kama vile wenzetu wa nchi zingine.
Matajiri wengi wa miaka michache iliyopita wanahusisha utajiri wao na mtandao. Kama Mark Zuckerberg wa facebook ambaye pia anamiliki whatsapp na instagram, Jack Ma wa Alibaba.com na wengine.
Kwa kifupi, kuna fursa nyingi sana ndani ya mtandao, tusiuogope. Lakini kwenye msafara wa mamba hata kenge wamo, kwa hivyo tahadhari lazima iwepo.
Anayependa kujua zaidi kuhusu fursa zilizopo mtandaoni anaweza kunipata kwa simu.
+255713823702.
#Change is the only constant.
 
Si rahisi kama unavyodhani.
Tena kama ndio yale mambo ya kumuingiza mwenzako upate commision duh. Kaazi kweli kweli
 
Ina maana ajira imekuwa ngumu hadi watu mnaamua kujiingiza kwenye 'kamari' inayopewa majina mazuri mazuri
 
Ajira ni tatizo duniani kote. Lakini kama upo pale " ivory towers" huwezi kujua hilo. Tena ajira sio njia moja ya kupata utajiri, biashara ndio njia pekee ya mtu wa kawaida kubadirisha maisha yake.
 
Hallo , mie nina kompressa nauza cilenda 6, bar 12, ipo Zanzibar
 

Attachments

  • 20181009_205819.jpg
    20181009_205819.jpg
    142.2 KB · Views: 10
Back
Top Bottom