Mvutano na mtifuano umekuwa mkubwa kiasi kwamba CC ya CCM inajuta kwa nini imerudisha maamuzi ya mgombea kwa mkutano wa wilaya ili kupiga kura tena. Hata hivyo makundi sasa yanamenyana na mtandao ulio kinyume na sioi sumari umemzushia kijana huyo propaganda chafu yenye kutia kinyaa. Habari zilizozagaa huko meru ni kuwa sioi hayuko sawa na amekuwa anafanya mchezo wa ajabu (watu wazima mtaelewa).
Kambi hiyo imeendeleza propaganda zaidi kwa kusema kuwa kitendo cha sioi kuamua kugombea wakati hata marehemu baba yake hajatimiza 40 (tumbo halijapasuka) ni ishara kuwa kijana huyu amemfanyia kitu baba yake.
Yote haya yamekuwa yakirushwa ili kujenga mazingira ya sioi sumari apigwe chini na sarakikya apitishwe. Habari ni kuwa sababu zilizotolewa za kumpiga chini sioi zilikosa mashiko na hivyo CC ikaona irudishe kura za maoni tena na hapo sasa propaganda ya nguvu ipigwe ili kupunguza kura za sioi na kusaka kura zilizokuwa za elishilia na elirehema.
Kwani mna hakika kuwa hana hiyo tabia chafu? Inasemekana tangu arudi toka Marekani, ambako tabia hiyo ni ya kawaida na inatambulika kisheria, hayuko kawaida kimwenendo vile alivyokuwa kabla hajaenda.
Sioi kweli amgesubiri hadi 2015, yaani hata arobaini ya babake haijafanyika mtoto anafikiria 'posho' ambazo zimepungua hadi Makinda anaamua kustaafu?
Yote pembeni, kupigwa kwake chini ni 'indirect' technic ya kumvua gamba jamaa ambaye yeye halioni gamba lake (anamnyooshea mwenye nymba kwamba ndo gamba). SIASA ni wehu.
kupigwa kwake chini ni 'indirect' technic ya kumvua gamba jamaa ambaye yeye halioni gamba lake (anamnyooshea mwenye nymba kwamba ndo gamba). SIASA ni wehu.
Hii 'arobaini' ni mila za Pwani, sasa yeye zinamhusu vipi!? Kama ingekuwa ni mila ya kwao hata wazee wa kimila huko Arumeru wangemshauri, lakini arumeru hawaoni arobaini ni tatizo...labda nyie watu wa Pwani kwenu ndio muone tatizo.
Hata uteuzi wa Kabila na Kim Jong Un haukusubiri 'arobaini'....sababu si mila zao!