Nadhani uki-generalize hivyo unakuwa biased au unaangalia ambazo ni tofauti na interest yako ila ukitafuta utapata ambayo itakuwa nzuri kwako ( Being the biggest in the business, there is something for everyone)...., Hollywood Series ni nyingi na zipo genre tofauti tofauti, unaweza usipende Games of Thrones, Person of Interest au Vampire Diaries sio sababu ni mbaya bali sababu ya interest yako.., ila huenda ukapenda Bing Bang Theory sababu ya your sense of humour lakini huwezi kusema zote hizo zinafanana...
Tofauti na mtu anaweza akasema movie za kihindi zinaboa sababu kuna recurring themes ( kulia lia, nyingi ni about arranged marriages au wanaimba imba saaanaaa) sasa sio kwamba kule kuimba ni kubaya bali its not everyone cup of tea..
Sasa tukija kwenye Korean Series kuna recurring things ambazo pamoja na mazuri yote zinaweza zikawa a turn off (wala sidhani kama zinaongezea ubora) na pamoja na hayo ni :-
- Bad endings
- Utoto fulani hivi...
- Mfanano wa stories kwa saana ambao unaweza kugawanyika katika aina ambazo hazizidi tano (ukiangali hukosi kupata moments of De Javu..
- Inconsistent yaani unakuta mtu mtaalamu na anaweza kupanga deals zake kwa umakini ila eti anajikuta anaongea kwenye uwazi na mtu yupo kona anasikiliza na kujua siri fulani (hii inatokea sana kwenye historicals)
- Mwisho wa Plot mara nyingi yule culprit huwa hapati what he deserves.., kwahio inapunguza uzito /kazi ya main character
- Trying hard to be funny...
Mwisho kabisa kama kuna tatizo la western series ni kama ifuatavyo:-
Kutokana na kwamba series huwa sponsors wake ni Big TV Networks huko US / au to a small extent UK uhai wa series unategemea viewers.., (watu wanaoangalia) hivyo kama series fulani hata ikiwa nzuri vipi kama viewers wakiwa wachache (hence matangazo / commercials zinakuwa chache) unaweza ukakuta series inakuwa cancelled..., hivyo kuna series nyingi za western hazina mwisho/ haziishi..
Pia kama series inakuwa na viewers wengi TV Networks huwa zinangaganiza kurefusha series hivyo ku-dilute story au kupoteza maana.., mfano halisi ni Lost, The Mentalist... to name just a few...