Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,317
Hapa siongelie zile historical kama Jumong, Yisan, Painter of the Wind, Tree with Deep Roots n.k., naongelea zile modern.
Kwa kweli nyingi nazoziona ni kama zinafanafana saana as well as ni predictable unaweza kujua ni nini kitatokea. Alafu zipo a bit childish, Plot zake unakuta mtu anafanya revenge kuumiza wale waliomuumiza ila eti na yeye anaumiza wale wa karibu yake na yeye kuumia mwenyewe (kitu ambacho kinaondoa dhana ya yeye ku-revenge in the first place)
Nyingi zina story nzuri overall lakini plot zake zinakuwa za kitoto na zina-defy logic. Sijui ni tatizo langu pekee au na wengine pia, nadhani wapo vizuri sana kwenye zile historical lakini kwenye modern series nadhani za western bado zipo juu as well as dialogue inasaidia kuzifanya ziwe bora, pia zipo more realistic.