my dear utoto wangu hivi vitu havikuwepo, nakumbuka mimi nilikuwa napika michanga na kuchoma sindano midori hahahaha. Hizi ni dotcom za watoto wangu ndiyo wamecheza.
Young Master na Caroline Danzi ujue enzi izo watoto wajanja tulikuwa ndo tunaacha kucheza kombolela tunahamia kwenye digital world, wakati tuko darasa la tatu mshikaji ndo akaja na nintendo gameboy ebanaeeeh wote tukaanza kuwa marafiki zake, unacheza kidogo anakunyang'anya hahahhahahhaha
Ha ha haaaa!!! Kumbe wewe ulikuwa unacheza ile michezo ya baba na mama?
my dear utoto wangu hivi vitu havikuwepo, nakumbuka mimi nilikuwa napika michanga na kuchoma sindano midori hahahaha. Hizi ni dotcom za watoto wangu ndiyo wamecheza.
Mpaka leo napenda watoto na kuwahudumia. Unajua zamani hizo hatukuwa na michezo mingi zaidi ya kucheza Kombolela, rede, kuruka kamba, kukimbia, kuimba. sasa hivi watu wanaangalia DSTV, game kibao etc. Mimi nimeanza kuona TV ukubwani, kutwa tuliuwa tunasikiliza vipindi vya mama na mwana (Deborah Mwenda). Kila mumamosi saa nane lazima tugombanie radio.
nilikuwa naona kina Mwali na wenzie wako bize wanasimuliana kuhusu playstation sijui xbox 360, sasa wakati wetu ilikuwa hakuna izo ndude, kulikuwa na vitu kama hivi
na mimi ndo nilikuwa nashikilia ubingwa maana nilimaliza level zote.....
haya na nyie leteni kumbukumbu zenu za utotoni
Hadithi za UA JEKUNDU
master hiyo ya kwako haiwahusu wasichana.Mie nakumbuka enzi zangu nilionea sana kwenye hii kitu aisee
dah na kuzaa washazaa kabisa maana namwona mtoto hapo japo kalala karibu na jiko.vipi kuhusu mchezo wa kibaba unaikumbuka hiyo .