Chikwete Anajisikiaje Ndesa kupigwa mabomu

Avanti

JF-Expert Member
Aug 24, 2010
1,209
239
Nilihuzunika sana Mzee kama Ndesamburo kutoa malalamiko kama yale mbele ya kadamnasi. Si kawaida kwa mtu mwenye uzee kama wa Ndesamburo kulalamika vile. Alifikia hatua ambayo si ya kawaida kijazba, kwani hata kama kulikuwa na kosa lililosababisha mivutano, basi polisi wangeangalia wazee wasipigwe mabomu hata kama wapo kwenye maandamano. Kama ilivyokwishasemwa hata first lady wetu haikupaswa afanywe vile, polisi wa Arusha, nashindwa niwachukuliaje!!?? Anyway labda watajirekebisha!
 
Ila sema ukweli nilimsifu saana mze mwenzangu maana alikuwa shupavu sana, angekuwa rais wenu pale kweli si angeanguka?
 
Kwa umri wake Raisi kuanguka sio kawaida, ila mzee yule ingetokea kaanguka Chikwete angeambiwa kaua
 
If you can't stand the heat stay out of kitchen.

Its all about, either you are with us or against us. The cops are with gov. so Mzee Ndesi is an enemy in their eyes.

The cops used the tactic which I always employ in the battle.....If you bring a knife I bring a gun and I escalate from there .i.e if you bring a gun I bring a bazooka, i always carry a bigger stick than you do in a battle so I do have an edge on you sucker. lol.
 
Suppose it went that, the mob were the one who killed the cops without applying heavier weapons comparing with those carried by the cops!?
 
Ha wapi kamanda Mzee wako Ndesa ni mwalifu kabisa na amepata anachostahili japo ni kwa dozi ndogo,kimsingi alitakiwa nae afanywe dibaji ya katiba mpya ndio ningeona ni sawa
 
kama kawaida tufegi fegi huwa hatukosekani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom