Activits
Senior Member
- Oct 8, 2013
- 195
- 51
huyo mama ubunge ataudikua au kuuangalia kupitia tv au radio maisha yake yote.acha afanye anachofanya.sisi tumeshaamua ni msigwa na lowasa tu zito wake hata ubunge hawezi pata tena.chezea ukawa wewe.
naona kama huyu mama anachanganya mada vile? Kwani lowassa ndio yuko madarakani? Mbona anamshambulia mpinzani mwenzake?
Huyu ni mpinzani kweli?