Chiku Abwao ajiunga rasmi na ACT - Wazalendo

Chiku Abwao ajiunga rasmi na ACT - Wazalendo

Aondoke atokomee kabisa kwanza mbona hata simfaham au alikuwa anauchapa sana mjengoni kama tyson.
 
Hizi zitakuwa ndio zile samples za njaa-njaa ambao walikuwa hawataki kutoka bungene kuhofia kukosa posho, kuandamana na migomo na kuchangia chama hawajui hayo ndio mambo yaliyoipaisha CHADEMA sana. Aende zake huko hatumuhitaji MAKAMANDA wapo wa kutosha.
 
Ndio wale wabunge 50 aliosema. ZZK ,mm naona anazidi kulamba magalasa tu
 
ukiwa mkwel wa udhati wa moyo wako huwezi kuwa cdm; namuonea huruma bulaya
 
Chadema kama chama ambacho kinahitaji wachezaji makini lzm kiakikishe kuwa wachezaji garasha kama kina chiku abwao,letisia nyerere na wengine wengi wanaondolewa kwenye kikosi
 
huyu ni mzuri kwenye vijembe na kubwatukiana ila kuna kipindi alikua kimya sana tofauti na miezi ya mwanzo, uwezo ke kichwani mdogo sana
 
hiyo ni kazi ya kura ya maoni ndio imemfikisha huko, na najua kama mchakato wa ccm ungekuwa bado tungemsikia yuko huko lakini kwa vile anatafuta kula lazima akimbilie huko. HIYO NI KAZI YA SOSOPI

hata lowasa nae kura za maoni ndizo zilizompeleka cdm.huo uraisi atausikia kwenye redio mbao tu.
 
huyu ni mzuri kwenye vijembe na kubwatukiana ila kuna kipindi alikua kimya sana tofauti na miezi ya mwanzo, uwezo ke kichwani mdogo sana

Ni kweli mkuu kuna wakati lukuvi alimfananisha na muuza bar
 
Atakuwa amepigwa chini kura za maoni na kwa kuwa ni msaka tonge ameamua akasake wa akina yuda.kira laheri bi dada ila kumbuka njaa mbaya
 
Chadomo wana tabia za makondakta wa daladala, anakubembeleza upande daladala lake, ukiktaa utakoma kwa mitusi.
 
Mmoja wa Wabunge mizigo wa Chadema. Alikuwa Chadema mwenye uwezo wa ki-ccm
Ni mzuri kwani baada ya kugundua hana uwezo wa kujenga wala kuchangia hoja zenye mashiko kaamua kustaafu siasa kwa style hii na huko alikokimbilia ndo atakapofia.
 
Mama pole sana use mvumilivu mbona wenzie kule ccm nao wamepigwa chini
 
Kwa tafsiri ya wanachadema: ukihamia
CCM : fisadi
Chama kingine : msaliti
CHADEMA : msafi

Hahahhaha
 
Back
Top Bottom