mndorwe JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 2,472 Reaction score 1,028 Aug 1, 2015 #61 Huyu mama kajiua kisisa ......
Andrew Nyerere JF-Expert Member Joined Nov 10, 2008 Posts 3,007 Reaction score 2,468 Aug 1, 2015 #62 Zitto alifika hapa Butiama,kwa utani akanipa kofia ya chama chake,akaondoka na kofia yangu ya CCM. Je mimi ni member wa ACT?
Zitto alifika hapa Butiama,kwa utani akanipa kofia ya chama chake,akaondoka na kofia yangu ya CCM. Je mimi ni member wa ACT?