CCM original
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 373
- 68
Hiyo imenitoa jasho, kumbe tayari walijua wanenda kufanya ufusika,da! Hili ajab jingine la dunia
kumbe hampendi ufuska? Mwambieni babu yenu asiwe anapora wake za watu na kumfanya kimada wake.
Hiyo imenitoa jasho, kumbe tayari walijua wanenda kufanya ufusika,da! Hili ajab jingine la dunia
Chikawe amemuumbua Tundu Lisu bungeni jioni hii kwa kutoa ushahidi kuwa Bw. Beatus Kipeya ambaye Lisu na Chadema wanadai kuwa alienguliwa na WDC ya Sombetini asiwe mjumbe wa baraza la katiba la kata kuwa ni mjumbe halali na hivyo kuthibitisha kuwa Tundu Lisu na Chadema anajaribu kulidanganya bunge na wananchi.
hivi Lisu ule ukichaa alishapona?

Kwa hiyo hapo ndo kamvua nguo? Acha unafki wako
Chikawe amemuumbua Tundu Lisu bungeni jioni hii kwa kutoa ushahidi kuwa Bw. Beatus Kipeya ambaye Lisu na Chadema wanadai kuwa alienguliwa na WDC ya Sombetini asiwe mjumbe wa baraza la katiba la kata kuwa ni mjumbe halali na hivyo kuthibitisha kuwa Tundu Lisu na Chadema anajaribu kulidanganya bunge na wananchi.
hivi Lisu ule ukichaa alishapona?
Mzalendo
Chikawe amemuumbua Tundu Lisu bungeni jioni
hivi Lisu ule ukichaa alishapona
Wakati wenye Afadhali kidogo kuliko wewe ,WANAANZA VIBAYA LAKINI WANAMALIZA VIZURI , Wewe umeanza vibaya sana na umemaliza vibaya mno , tena umemaliza kwa Matusi ! Kwa taarifa yako ni kwamba Tundu Lissu haumbuliki wala hafedheheki .
Wamemrudisha baada ya kupigwa presha
Mbona hajakataa kama barua ziliandikwa au la? Go back to school, dude.Chikawe amemuumbua Tundu Lisu bungeni jioni hii kwa kutoa ushahidi kuwa Bw. Beatus Kipeya ambaye Lisu na Chadema wanadai kuwa alienguliwa na WDC ya Sombetini asiwe mjumbe wa baraza la katiba la kata kuwa ni mjumbe halali na hivyo kuthibitisha kuwa Tundu Lisu na Chadema anajaribu kulidanganya bunge na wananchi.
hivi Lisu ule ukichaa alishapona?
Ebu tusaidiane, nimesoma hotuba ya Tundu Lissu kilichosemwa ni kuwa huyo Bw mara baada ya kuchaguliwa tu aliandamwa na Idara ya Uamiaji baada ya uongoxi wa CCM sehemu hiyo kulalamikia uraia wake, nia ikiwa nafikiri kumuengua. Sikuona sehemu aliyosema ameshaondolewa kwenye orodha ya wajumbe. Mh Chikawe hakujibu tuhuma bali kaamua kutoa taarifa ya kupendezesha. Labuda mimi ndiyo sikuelewa vyema.Chikawe amemuumbua Tundu Lisu bungeni jioni hii kwa kutoa ushahidi kuwa Bw. Beatus Kipeya ambaye Lisu na Chadema wanadai kuwa alienguliwa na WDC ya Sombetini asiwe mjumbe wa baraza la katiba la kata kuwa ni mjumbe halali na hivyo kuthibitisha kuwa Tundu Lisu na Chadema anajaribu kulidanganya bunge na wananchi.hivi Lisu ule ukichaa alishapona?
humu jf kuna uzi wa hotuba ya lisu hapa chini
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-katiba-na-sheria-yaibua-makubwa-bungeni.html
na issue inayosema inasema hivi
"Mheshimiwa Spika,
Hata mahali ambapo wananchi wasiokuwa wanaCCM walifanikiwa kupenyeza katika chekecheke la mchujo wa WDC wamefanyiwa mizengwe na wanaCCM ili waondolewe katika orodha ya wajumbe wa Mabaraza ya Katiba ya Wilaya. Mfano mzuri ni yaliyomkuta Bw. Beatus Kipeya aliyechaguliwa mjumbe wa Baraza la Katiba la Wilaya ya Arusha Mjini kwa kupitia Kata ya Sombetini. Mara baada ya Bw. Kipeya kuchaguliwa kwenye kikao cha Kamati ya Maendeleo ya Kata ya Sombetini cha tarehe 8 Aprili, 2013, siku hiyo hiyo Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Allan G. Kingazi alimwandikia Mkuu wa Wilaya ya Arusha barua ya malalamiko juu ya kuchaguliwa kwa Bw. Kipeya.
Pamoja na kumpa Mkuu wa Wilaya salaam za Chama chao, Katibu wa CCM Kingazi alilalamika kwamba Afisa Mtendaji wa Kata ya Sombetini amemruhusu ... raia wa Burundi Bwana Beatus Ndanyahubwi Kipea (ambaye katika kugombea ametumia jina la Beatusi Kipea ili asijulikane kama ni Mrundi ila mtu wa Kigoma yaani Muha) kugombea nafasi ya Ujumbe wa Baraza la Katiba la Wilaya na akashinda, kinyume na maagizo ya Tume ya Katiba, kwamba Mjumbe ni lazima awe Raia wa Tanzania.
Baada ya maelezo mengi kuhusu Urundi wa Bw. Kipeya, Katibu wa CCM Kingazi anamwambia Mkuu wa Wilaya yafuatayo: ... (N)ashauri matokeo ya Uchaguzi wa Wajumbe wa Baraza la Katiba ufutwe na utangazwe upya. Aidha, Afisa Mtendaji huyo achukuliwe hatua za kinidhamu kwa kuvuruga kwa makusudi Uchaguzi wa Muundo wa Baraza la Katiba la Wilaya.