Kwa hiyo hapo ndo kamvua nguo? Acha unafki wako
Chikawe amemuumbua Tundu Lisu bungeni jioni hii kwa kutoa ushahidi kuwa Bw. Beatus Kipeya ambaye Lisu na Chadema wanadai kuwa alienguliwa na WDC ya Sombetini asiwe mjumbe wa baraza la katiba la kata kuwa ni mjumbe halali na hivyo kuthibitisha kuwa Tundu Lisu na Chadema anajaribu kulidanganya bunge na wananchi.
hivi Lisu ule ukichaa alishapona?
Nataka kujua zile mil 18 za masuala ya ukimwi
Huu ni umimi.nonsense!Thread nyingine zimefanana na chakula cha nguruwe.
Hata aliyeanzisha atakuwa anafaa kwa chakula cha nguruwe tu.
mbona wenzenu wakija na mada za kukisifu chama kisicho chadema, mara nyingi lazima mseme wanalipwa, kwani hawawezi kuwa wakereketwa kama nyinyi. Wana cdm acheni kasumba vumilieni kipigo , hivyo ndivyo siasa ilivyo.
Mmesahau vurugo ya mtwara wana cdm mlivyotamba hapa jukwani, nikongeza senti zangu mbili, katika bunge hili cdm imebainisha kuwa iko tayari kutumia kila njia ili wawe washindi kila mahali, kwani wametua uongo wa hali duni sana na kujiabisha