Katika kutekeleza majukumu ya chama (CHADEMA) na kuhakkisha chama kinafika vijiji vyote kupitia programu ya CHADEMA ni msingi, ofisi ya wilaya mbeya vijijini CHADEMA imeamua kufanya kampeni za kupita viji vyote kufanya mikutano ya hadhara ili kuhamasisha wanachama wengi kujiunga na CHADEMA
Katika mkutano wa leo ulio fanyika katika kata ya Maendeleo kijiji cha Usuha muungano ambacho kina wakazi wasio zidi 150 CHADEMA kimefanikiwa kuvuna wanachama wapya zaidi ya 30 ambao walikuwa ni wanachama wa CCM wanachama hao ni vijana wakina mama na wazee, lakini iliyo funga kazi ni pale chifu (mwene) wa maeneo hayo MAIKO MHIGAA alipo amua kujiunga chadema mzee huyo aliwaambia wanakijiji kuwa wasitishwe na mtu yoyote mana amesha ujua ukweli,
HAPA CHINI NI PICHA TANGU KUELEKEA KWENYE MKUTANO MPAKA WANACHAMA WAPYA WALIPO KUWA WANAKABIDHIWA KADI ZAO MPYA ZA CHADEMA {PICHA YA CHIFU NI HUYO MZEE ANAYE KADHIWA KADI NA MWENYEKITI WA WILAYA MBY V CHADEMA ELIA KAOLILE}