Chifu wa Usafwa na wengine makumi wahamia CHADEMA

Wasafwaaaaaaaaaaaaaaaaaa pipozzzz pawaaaaa hi ndo salam yetu,WASAFWA WANAJITAMBUA TOKA ZAMAN NAWEZA KUWAITA NI GOLDEN BOY NA MAGOLDEN GIRL,NCHI NI YETU CHADEMA NI YETU,wanamahesabu wanatambua heli sifuri kuliko dash -,sifur n namba 30 n weng sanaaa chifu peke yake sawa na watu 2000
 
Imekula kwenu, kama hamkujiendeleza na fursa zote zilizopo basi nyue na ka-chifu kenu mmeingia lango la kuzimu.
Angalia historia kwa nini wewe, chifu wenu na wengineo wako nyuma sana na utanielewa.
Kujiendeleza ni wewe mwenyewe na hakuna mwingine wa kukubeba sembuse jamaa usiowafahamu wa huko milima ya kaskazini.
Imekula kwako!!
umepanic na hujui unachoongea acha nikuache kwenye miba
 
Katika kutekeleza majukumu ya chama (CHADEMA) na kuhakkisha chama kinafika vijiji vyote kupitia programu ya CHADEMA ni msingi, ofisi ya wilaya mbeya vijijini CHADEMA imeamua kufanya kampeni za kupita viji vyote kufanya mikutano ya hadhara ili kuhamasisha wanachama wengi kujiunga na CHADEMA
Katika mkutano wa leo ulio fanyika katika kata ya Maendeleo kijiji cha Usuha muungano ambacho kina wakazi wasio zidi 150 CHADEMA kimefanikiwa kuvuna wanachama wapya zaidi ya 30 ambao walikuwa ni wanachama wa CCM wanachama hao ni vijana wakina mama na wazee, lakini iliyo funga kazi ni pale chifu (mwene) wa maeneo hayo MAIKO MHIGAA alipo amua kujiunga chadema mzee huyo aliwaambia wanakijiji kuwa wasitishwe na mtu yoyote mana amesha ujua ukweli,
HAPA CHINI NI PICHA TANGU KUELEKEA KWENYE MKUTANO MPAKA WANACHAMA WAPYA WALIPO KUWA WANAKABIDHIWA KADI ZAO MPYA ZA CHADEMA {PICHA YA CHIFU NI HUYO MZEE ANAYE KADHIWA KADI NA MWENYEKITI WA WILAYA MBY V CHADEMA ELIA KAOLILE}

Toka nianze kuangalia huto tupicha nimegundua mambo mawili
kwanza mmetumia camera ya analogia(zilipendwa)ishara kwamba chadema ni zilipendwa
pili kamkutano kalikuwa na watu ambao hawakuzidi kumi
Chadema kinakufa soon
 
Mkuu mie mhehe lakini nimezaliwa isanga njia ya kwenda kawetele.

Najua wasafwa wana moto yao wakisema avivi yoyo!...

Kinachofuatia watu kama Dj wanapigwa tairi ya shingo

hahaha..mi nimezaliwa ilemi pale kumbe tupo karibu mkuu,njia panda ya magege na mapelele..
kumbe unajua au tukisema TUMNGOJE TUMLESHE,hahaha..
 
Kama we ni msafwa basi unaijua kata ya maendeleo, unapita Igoma ila imekaribina sana na kata ya Urenje naamini kama we ni msafwa utakuwa umeelewa, kingine lazima mukubari mabadiliko haijalishi yamekuja kwa staili ipi, kingine hicho kijiji hakiitwi Usuha tu bali kinaitwa Usuha Muungano ludi kwenye post yangu

nadhani hujanielewa mkuu One two ,ebu angalia avatar yangu hapo kisha utanielewa..
 
Last edited by a moderator:
Toka nianze kuangalia huto tupicha nimegundua mambo mawili
kwanza mmetumia camera ya analogia(zilipendwa)ishara kwamba chadema ni zilipendwa
pili kamkutano kalikuwa na watu ambao hawakuzidi kumi
Chadema kinakufa soon
Nia ilikuwa nikufikisha ujumbe na sio kuonyesha ubora wa technology tuliyotumia kupiga picha
 
Siku hadi siku tunaendelea kujitambua na mwisho wa siku kitaeleweka
 
Cdm mumekosa cha kushabikia? Hicho kisampuli cha watu wachache ndo mnakishabikia! Au mnakuza jina la chadema tu coz utawala wa machifu haupo sasa hivi na hawana influence tena kwani nyerere aliwamaliza,cdm mnashangilia mamuluki!

Wewe kweli umevurugwa na mziki wa CDM juzi ninyi magamba mumekuja na uzi mkisema JK apewa uchifu kule Bukoba leo hii unasema hauna deal, inamaana alio pewa JK ni uchifu feki? Ndugu mgonjwa aliikunoga tulia uchomwe sindano hatakama ni chungu inakuhusu tu. VIVA CDM
 
MI msafwa original..
usuha ipo sehem gani.?MPOROTO,SIMAMBWE au ITENDE au KAWETELE.?

Kiusahihi ni Usoha Muungano. Ukitokea Mbeya unaenda hadi Simambwe halafu unaacha barabara ya lami kuelekea kushoto. Iko magharibi ya Irambo.
 
Katika kutekeleza majukumu ya chama (CHADEMA) na kuhakkisha chama kinafika vijiji vyote kupitia programu ya CHADEMA ni msingi, ofisi ya wilaya mbeya vijijini CHADEMA imeamua kufanya kampeni za kupita viji vyote kufanya mikutano ya hadhara ili kuhamasisha wanachama wengi kujiunga na CHADEMA
Katika mkutano wa leo ulio fanyika katika kata ya Maendeleo kijiji cha Usuha muungano ambacho kina wakazi wasio zidi 150 CHADEMA kimefanikiwa kuvuna wanachama wapya zaidi ya 30 ambao walikuwa ni wanachama wa CCM wanachama hao ni vijana wakina mama na wazee, lakini iliyo funga kazi ni pale chifu (mwene) wa maeneo hayo MAIKO MHIGAA alipo amua kujiunga chadema mzee huyo aliwaambia wanakijiji kuwa wasitishwe na mtu yoyote mana amesha ujua ukweli,
HAPA CHINI NI PICHA TANGU KUELEKEA KWENYE MKUTANO MPAKA WANACHAMA WAPYA WALIPO KUWA WANAKABIDHIWA KADI ZAO MPYA ZA CHADEMA {PICHA YA CHIFU NI HUYO MZEE ANAYE KADHIWA KADI NA MWENYEKITI WA WILAYA MBY V CHADEMA ELIA KAOLILE}

What is uchief meni expuleini to mi meni
 
Mb

Mbeya vijijini ma sweet home . Mwagonaaaa
 
Back
Top Bottom