Chifu wa Usafwa na wengine makumi wahamia CHADEMA

Chifu wa Usafwa na wengine makumi wahamia CHADEMA

Khaaaa! Chifu huyu safi sana

"Nchi ngumu hii"
 
Nice move CDM

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cdm mumekosa cha kushabikia? Hicho kisampuli cha watu wachache ndo mnakishabikia! Au mnakuza jina la chadema tu coz utawala wa machifu haupo sasa hivi na hawana influence tena kwani nyerere aliwamaliza,cdm mnashangilia mamuluki!
mchungaji mzuri ni yule anayejali hata kondoo mmoja aliyepotea ili amrejeshe zizini.

Mngekuwa na akili nzuri mngetafuta ni kwa hao wanakimbilia upinza ili hali usiku na mchana mnatangaza kuwa Chadema ni chama cha WACHAGA, KASKAZINI, KIDINI na ngonjera mpya NI CHA KIGAIDI na VURUGU lakini bado Watz wanakiamini mno !

Kwa taarifa yako machifu bado wapo kama utakumbuka ndiyo walio mvalisha mkuu shuka siku anaomba kura 2010

lenm tuna mkutano mkubwa hapa Mby nitakuletea update. USIOGOPE
 
Katika kutekeleza majukumu ya chama (CHADEMA) na kuhakkisha chama kinafika vijiji vyote kupitia programu ya CHADEMA ni msingi, ofisi ya wilaya mbeya vijijini CHADEMA imeamua kufanya kampeni za kupita viji vyote kufanya mikutano ya hadhara ili kuhamasisha wanachama wengi kujiunga na CHADEMA
Katika mkutano wa leo ulio fanyika katika kata ya Maendeleo kijiji cha Usuha muungano ambacho kina wakazi wasio zidi 150 CHADEMA kimefanikiwa kuvuna wanachama wapya zaidi ya 30 ambao walikuwa ni wanachama wa CCM wanachama hao ni vijana wakina mama na wazee, lakini iliyo funga kazi ni pale chifu (mwene) wa maeneo hayo MAIKO MHIGAA alipo amua kujiunga chadema mzee huyo aliwaambia wanakijiji kuwa wasitishwe na mtu yoyote mana amesha ujua ukweli,
HAPA CHINI NI PICHA TANGU KUELEKEA KWENYE MKUTANO MPAKA WANACHAMA WAPYA WALIPO KUWA WANAKABIDHIWA KADI ZAO MPYA ZA CHADEMA {PICHA YA CHIFU NI HUYO MZEE ANAYE KADHIWA KADI NA MWENYEKITI WA WILAYA MBY V CHADEMA ELIA KAOLILE}

MI msafwa original..
usuha ipo sehem gani.?MPOROTO,SIMAMBWE au ITENDE au KAWETELE.?

Afadhali mkuu [MENTION]Somji Juma [/MENTION] umeliona hilo.
Mtoa mada awatapeli tu wakuja kutoka Moshi na Arusha, maana hapo naona kaokota vibaka wa mitaani na kuwapauchifu.

Machifu wa Kisafwa hawababaishwi na vibendera viwili vitatu, au hata visenti.
Sio rahisi kuwanunua.

Halafu huyo "chifu" hana jina? hata la kusingiziwa?
 
Cdm mumekosa cha kushabikia? Hicho kisampuli cha watu wachache ndo mnakishabikia! Au mnakuza jina la chadema tu coz utawala wa machifu haupo sasa hivi na hawana influence tena kwani nyerere aliwamaliza,cdm mnashangilia mamuluki!
Shilingi mia mia za mikate,ice cream ndizo zimemfanya BAKHRESA kuwa tajiri afrika mashariki!Endelea kudharau ka sample
 
Fimbo mpya ya ccm ;ccm ya wauza unga; ccm ya wangoa kucha na meno bila ganzi; ccm ya wala rushwa: ccm ya watorosha nyara za taifa : ccm ya wachama tumbo; ccm ya wabakaji mtwara; ccm ya pea; ccm ya walanguzi mzindakaya kielelezo;
 
Wabakaji wake za watu hamuwaoni?
 
Habari njema,magamba wanabeza...mimi hata kama wangekuwa wanachama wawili ningetoa pongezi.Ccm hawajui nguvu waliyonayo machifu kuwainfluence watu.
 
MI msafwa original..
usuha ipo sehem gani.?MPOROTO,SIMAMBWE au ITENDE au KAWETELE.?
Kama we ni msafwa basi unaijua kata ya maendeleo, unapita Igoma ila imekaribina sana na kata ya Urenje naamini kama we ni msafwa utakuwa umeelewa, kingine lazima mukubari mabadiliko haijalishi yamekuja kwa staili ipi, kingine hicho kijiji hakiitwi Usuha tu bali kinaitwa Usuha Muungano ludi kwenye post yangu
 
Afadhali mkuu Somji Juma umeliona hilo.
Mtoa mada awatapeli tu wakuja kutoka Moshi na Arusha, maana hapo naona kaokota vibaka wa mitaani na kuwapauchifu.

Machifu wa Kisafwa hawababaishwi na vibendera viwili vitatu, au hata visenti.
Sio rahisi kuwanunua.

Halafu huyo "chifu" hana jina? hata la kusingiziwa?
Mutabisha sana na ndo mana mulimtuma mkuu wenu wa wilaya akawambie machifu wawauwe watu wanao jiunga CHADEMA sasa chief amekataa na ameamua kujiunga na CHADEMA na amesema vijana wasiogope mana ameshaujuwa ukweli
 
Propaganda zenu hizo nyie, angalieni Zimbabwe @
Hata ukikataa ukweli ndo huo we mwenyewe si unaona unavo toa point nyepesi sio kwamba ndio mwisho wa uwelewa wako bt umebanwa na madhambi mengi ya CCM ambayo unaitetea
 
Cdm mumekosa cha kushabikia? Hicho kisampuli cha watu wachache ndo mnakishabikia! Au mnakuza jina la chadema tu coz utawala wa machifu haupo sasa hivi na hawana influence tena kwani nyerere aliwamaliza,cdm mnashangilia mamuluki!
Huiji mby vijiji dada yangu machifu ndo walio kuwa wanatumiwa na ccm muda wote so tumeamua alafu inaonyesha wewe ni mtoto wa jiji ko tunaposema kijiji huwezi kujua kunavijiji vina watu 50 tu ndani ya mby v kubali kufuzwa mana kuto kujua sio kilema
 
Mutabisha sana na ndo mana mulimtuma mkuu wenu wa wilaya akawambie machifu wawauwe watu wanao jiunga CHADEMA sasa chief amekataa na ameamua kujiunga na CHADEMA na amesema vijana wasiogope mana ameshaujuwa ukweli
Imekula kwenu, kama hamkujiendeleza na fursa zote zilizopo basi nyue na ka-chifu kenu mmeingia lango la kuzimu.
Angalia historia kwa nini wewe, chifu wenu na wengineo wako nyuma sana na utanielewa.
Kujiendeleza ni wewe mwenyewe na hakuna mwingine wa kukubeba sembuse jamaa usiowafahamu wa huko milima ya kaskazini.
Imekula kwako!!
 
Back
Top Bottom