Chifu msopa ndo nani katika nchi hii! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chifu msopa ndo nani katika nchi hii!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zubedayo_mchuzi, Nov 23, 2011.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Yeye analiomba Jeshi la police kuzuia Maandamo,migomo hasa ya vyuo vikuu.ichunguzwe,
  Source.tbc 1
   
 2. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ameongea kama ametumwa tena anasoma labda kaandikiwa,he is a puppet of a certain political party
   
 3. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  nakubali aweza kuwa ametumwa lakini wewe unaetaka kujua mwenzio tena mtanzania mwenzako ni nani? ni kukosa uvumilivu wa wazi kwa mawazo ya wengine na hili nashauri mliangalie vizuri watanzania wenzangu na hasa watumwa wa siasa msio nahata chembe ya moyo wa uvumilivu kwa wenzenu kiasi cha kuona wenzenu hawana haki na hata Rais hana haki ya kuamua mpaka muambiwe mutekenywetekenywe wee na wakati mwingine muonekane mkiwa naye ikulu.
   
 4. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 837
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  uhuru wa kuongea
   
 5. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mapovu tuuu
   
 6. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  sioni kosa la kutaka kumjua mtu tena aliyeamua mwenyewe kabisaaa na wenzie kujulikana, wewe kama humfahamu tulia tu, unajua there is this law KNOW WHO YOU'RE DEALING WITH DO NOT OFFEND THE WRONG PERSON, kwa hiyo yuko sahihi sana kutaka kumfahamu,hata mimi nataka kumfahamu,
   
 7. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,053
  Likes Received: 7,259
  Trophy Points: 280
  Chifu Msopa ni mzushi mmoja hivi,
  Njaa njaa, ukimuangalia tu utajua maisha "yamempiga".
  Ni kati ya wale vijana ambao hawajui wajibu wao kama vijana wa nchi hii hivyo yuko tayari kuangamiza kudni kubwa la vijana wenzie kwa malipo kiduchu (snitch).
  Ongea yake + kujichubua kwake kunapelekea akili yako kumkumbuka zaidi David Cameroun kwa haraka mno.
  Ni kijana ambae hajui atendalo, muoga wa mabadiliko na mlalamishi lalamishi hivi.
  Kwa nlivyomuona jana alivyochoka, inawezekana kabisa leo ukimfuata na fungu la kutosha ukamtaka akanushe kua sie yeye aliesemea vile atakubali kabisa.
  Zubeda, wahitaji kumjua zaidi ya hivi???
   
 8. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Inatosha Nimeona ana element za Usho****
   
 9. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #9
  Nov 24, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,053
  Likes Received: 7,259
  Trophy Points: 280
  Ahsante kwa kunielewa,
  Pia ahsante kwa kumuelewa sasa Msopa
   
 10. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #10
  Nov 24, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ana akili ya kushikiwa yule mtoto, vinginevyo hawezi kuongea ujinga kama ule. Sidhani kama anajua kwanini yupo/anaishi.
   
 11. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #11
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Uchifu Nao kautoa wapi?
  UCHIFU NA USHIRIKINA HAVIACHANANI.
   
 12. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #12
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,068
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  tbc ndo wanapena kuonyesha watu kama hawa. kigezo ni kutetea ccm tu..
   
Loading...