Chief Propagandist wetu ana matatizo gani?

EIGHTIESTHROWBACK

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2016
Posts
328
Reaction score
275
Idara ya habari, waziri wa habari na Msemaji mkuu wa serikali na naibu wake kwa pamoja wako kwenye Karne ya 16 wakati Dunia iko kwenye Karne ya 21.

Najiuliza hivi Zamaradi Kawawa kapataje ile kazi? Nilidhani hawa watu wa PR Mara nyingi wana confidence na are always on top of things lakini sio Zamaradi. Alikuwa ni Zero kuanzia uvaaji wake mpaka presentation skills zake.

Hawezi kujieleza na idara nzima imeshindwa kuna na jibu la kueleweka kuhusu yanayoendelea badala ya kumshambulia Lissu?

Hivi kwa nini wasingemwaachia chief propagandist wa wizara ya miundombinu akajibu hoja za Lissu?

Haya ndio matunda ya wizara na idara za serikali kuogozwa na watu wenye fikra za ki stone age na wameshindwa kudapt na mambo ya 21st century.

Websites zao ni rubbish
Presentation zao ni mediocre
Arguments zao hazina substance

We are doomed

jf where we dare talk openly
 
Damn you are right!
 
Mleta mada yuko sahihi ingawa Serikali inafanya vizuri na mambo yanasonga mbele. Hawa government employees hawana stadi (skills) kabisa za ku-respond correctly kwenye burning issues. Kimsingi kama Maelezo wangekuwa nanuwezo wa ku_respond correctly kwenye ngonjera za Lissu every thing would have ended up the next day past Lissu's allegations. Ndiyo, Zamaladi Kawawa ni incompetent lakini Dr. Mwakyembe is even more incompetent. Suala la uongo linalo_tarnish image ya Serikali lilitakiwa lifanyiwe kazi na wasaidizi wa makatibu wakuu wa wizara husika wakishirikiana na Maelezo halafu Mwakyembe ndiye alipaswa kuongea na Press kujibu ulaghai wa Lissu & Co., lakini wapi! Ndio Kwanza Mwakyembe yuko kwenye mdundiko wakati Zamaladi Kawawa akilikologa ili Serikali ilinywe. Mwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamaradi yaani hiyo nafasi haimfai kabisa alivyo jibu hata mtoto bright wa darasa la nne hawezi jibu vile, nakubaliana na mtu aliyesema jina la Kawawa ndo CV yenyewe
 
Watu wanawapa vyeo kwa historia ya wazazi wao bila kujali uwezo wao...Nilishangaa sana maelezo aliyoyatoa yule binadamu ..Kanakwabwa cheti cha form 4 aliacha baraza la mitihani.Kama yule ndio kaimu wa msemaji mkuu wa serikali basi kazi ipo.Kama hana cha kuongea ni bora akae kimya.Anatia aibu utumishi wa Umma.
 
Mleta mada yuko sahihi ingawa Serikali inafanya vizuri na mambo yanasonga mbele. Hawa government employees hawana stadi (skills) kabisa za ku-respond correctly kwenye burning issues. Kimsingi kama Maelezo wangekuwa nanuwezo wa ku_respond correctly kwenye ngonjera za Lissu every thing would have ended up the next day past Lissu's allegations. Ndiyo, Zamaladi Kawawa ni incompetent lakini Dr. Mwakyembe is even more incompetent. Suala la uongo linalo_tarnish image ya Serikali lilitakiwa lifanyiwe kazi na wasaidizi wa makatibu wakuu wa wizara husika wakishirikiana na Maelezo halafu Mwakyembe ndiye alipaswa kuongea na Press kujibu ulaghai wa Lissu & Co., lakini wapi! Ndio Kwanza Mwakyembe yuko kwenye mdundiko wakati Zamaladi Kawawa akilikologa ili Serikali ilinywe. Mwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
Well said, lakini hilo ni jambo moja..pengine uliwahi kuwaza Idara ya habari ilipaswa ifanye nini kwenye issue ya Mashepo (Makinikia?)..nadhani kuna nidhamu ya woga kila MTU anapigania ugali wake na familia..kwa haraka haraka ukitazama ile Press unayo izungumzia, Nina hakika aliye kaimu wakati ule (Zamaradi) alilazimishwa kuiitisha, tazama body language! Bure kabisa!

Idara imelala..haina ushawishi katika kupangua na kujenga hoja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom