Chief Propagandist wetu ana matatizo gani?

Idara ya habari, waziri wa habari na Msemaji mkuu wa serikali na naibu wake kwa pamoja wako kwenye Karne ya 16 wakati Dunia iko kwenye Karne ya 21.

Najiuliza hivi Zamaradi Kawawa kapataje ile kazi? Nilidhani hawa watu wa PR Mara nyingi wana confidence na are always on top of things lakini sio Zamaradi. Alikuwa ni Zero kuanzia uvaaji wake mpaka presentation skills zake.

Hawezi kujieleza na idara nzima imeshindwa kuna na jibu la kueleweka kuhusu yanayoendelea badala ya kumshambulia Lissu?

Hivi kwa nini wasingemwaachia chief propagandist wa wizara ya miundombinu akajibu hoja za Lissu?

Haya ndio matunda ya wizara na idara za serikali kuogozwa na watu wenye fikra za ki stone age na wameshindwa kudapt na mambo ya 21st century.

Websites zao ni rubbish
Presentation zao ni mediocre
Arguments zao hazina substance

We are doomed

jf where we dare talk openly
Nilishangazwa kuona Zamaradi eti naye msemaji wa serikali dah ni mzitoooooo kwa kila jambo kusema kweli. Hii kazi haimfai atawadhalilisha kila siku. Kazi Hii kubwa sanaaaa kwake exposure experience confidence intelligence inasumbua kidogo.
 
EIGHTIESTHROWBACK ,

..serikali ingesema ukweli na kwa wakati mambo suala hili lingeisha mapema.

..Kwa mtizamo wangu Zamaradi Kawawa alikuwa anababaika kwasababu alikuwa akisema UWONGO mbele ya waandishi wa habari.

..Nina uhakika mtu yeyote akizungumza jambo la ukweli na akiwa na uhakika nalo hufanya vizuri kuliko anapojaribu kuzungumza uongo na propaganda.
 
Mleta mada yuko sahihi ingawa Serikali inafanya vizuri na mambo yanasonga mbele. Hawa government employees hawana stadi (skills) kabisa za ku-respond correctly kwenye burning issues. Kimsingi kama Maelezo wangekuwa nanuwezo wa ku_respond correctly kwenye ngonjera za Lissu every thing would have ended up the next day past Lissu's allegations. Ndiyo, Zamaladi Kawawa ni incompetent lakini Dr. Mwakyembe is even more incompetent. Suala la uongo linalo_tarnish image ya Serikali lilitakiwa lifanyiwe kazi na wasaidizi wa makatibu wakuu wa wizara husika wakishirikiana na Maelezo halafu Mwakyembe ndiye alipaswa kuongea na Press kujibu ulaghai wa Lissu & Co., lakini wapi! Ndio Kwanza Mwakyembe yuko kwenye mdundiko wakati Zamaladi Kawawa akilikologa ili Serikali ilinywe. Mwe!

Sent using Jamii Forums mobile app

Lissu alisema bombardier imeshikiliwa kwa sababu tunadaiwa. Msemaji wa Serikali alithibitisha kwamba ni kweli. Wewe unasema "Ulaghai wa Lissu". Hebu tuambie ukweli ni upi maana tunakuwa hatukuelewi...
 
Technical know who!!!! ndio awamu yake hii.

Idara ya habari, waziri wa habari na Msemaji mkuu wa serikali na naibu wake kwa pamoja wako kwenye Karne ya 16 wakati Dunia iko kwenye Karne ya 21.

Najiuliza hivi Zamaradi Kawawa kapataje ile kazi? Nilidhani hawa watu wa PR Mara nyingi wana confidence na are always on top of things lakini sio Zamaradi. Alikuwa ni Zero kuanzia uvaaji wake mpaka presentation skills zake.

Hawezi kujieleza na idara nzima imeshindwa kuna na jibu la kueleweka kuhusu yanayoendelea badala ya kumshambulia Lissu?

Hivi kwa nini wasingemwaachia chief propagandist wa wizara ya miundombinu akajibu hoja za Lissu?

Haya ndio matunda ya wizara na idara za serikali kuogozwa na watu wenye fikra za ki stone age na wameshindwa kudapt na mambo ya 21st century.

Websites zao ni rubbish
Presentation zao ni mediocre
Arguments zao hazina substance

We are doomed

jf where we dare talk openly
 
EIGHTIESTHROWBACK ,

..serikali ingesema ukweli na kwa wakati mambo suala hili lingeisha mapema.

..Kwa mtizamo wangu Zamaradi Kawawa alikuwa anababaika kwasababu alikuwa akisema UWONGO mbele ya waandishi wa habari.

..Nina uhakika mtu yeyote akizungumza jambo la ukweli na akiwa na uhakika nalo hufanya vizuri kuliko anapojaribu kuzungumza uongo na propaganda.
Zamaradi hajasema uongo. Hajakanusha yaliyosemwa na Lissu. Alichoharibu ni kujaribu kuhusisha uamuzi wa Mahakama hiyo ya kimataifa na siasa za Tanzania. Kwamba jambo hilo lina mkono wa wanasiasa (Akimaanisha akina Lissu), huo ulikuwa uongo na udhalilishaji wa taaluma yake kama Mwanahabari. Hapo aliingilia kazi ya vijana wa Lumumba.
 
Mleta mada yuko sahihi ingawa Serikali inafanya vizuri na mambo yanasonga mbele. Hawa government employees hawana stadi (skills) kabisa za ku-respond correctly kwenye burning issues. Kimsingi kama Maelezo wangekuwa nanuwezo wa ku_respond correctly kwenye ngonjera za Lissu every thing would have ended up the next day past Lissu's allegations. Ndiyo, Zamaladi Kawawa ni incompetent lakini Dr. Mwakyembe is even more incompetent. Suala la uongo linalo_tarnish image ya Serikali lilitakiwa lifanyiwe kazi na wasaidizi wa makatibu wakuu wa wizara husika wakishirikiana na Maelezo halafu Mwakyembe ndiye alipaswa kuongea na Press kujibu ulaghai wa Lissu & Co., lakini wapi! Ndio Kwanza Mwakyembe yuko kwenye mdundiko wakati Zamaladi Kawawa akilikologa ili Serikali ilinywe. Mwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
1. Ili mradi serikali ni ya ukoo wa panya, subiri hasara yake muda si mrefu ukweli utadhihirika.
2. Wafanyakazi wenye taaluma zetu tulikwishawekwa pembeni, waliopo ni wafia chama, wanakufa na chama chao
3. Kwenye kujibu hoja za Lissu kwa wao ni kwa kutumia jeshi la polisi na kupima mkojo.
 
Zamaradi hajasema uongo. Hajakanusha yaliyosemwa na Lissu. Alichoharibu ni kujaribu kuhusisha uamuzi wa Mahakama hiyo ya kimataifa na siasa za Tanzania. Kwamba jambo hilo lina mkono wa wanasiasa (Akimaanisha akina Lissu), huo ulikuwa uongo na udhalilishaji wa taaluma yake kama Mwanahabari. Hapo aliingilia kazi ya vijana wa Lumumba.
ZAMARADI KAWAWA us still stuck in the 19th century

jf where we dare talk openly
 
Najiuliza hivi Zamaradi Kawawa kapataje ile kazi? Nilidhani hawa watu wa PR Mara nyingi wana confidence na are always on top of things lakini sio Zamaradi. Alikuwa ni Zero kuanzia uvaaji wake mpaka presentation skills zake.
Utakua na matatizo binafsi na kawawa
Alichoeleza kawawa ndio msimamo wa serikali na sio lazima ukubaliane nao.
Mambo ya kuvaa na kupendeza hayana uzito kwenye hoja hii
 
Unaweza kuambiwa kapewa kazi kwa sababu ya jina.
 
Utakua na matatizo binafsi na kawawa
Alichoeleza kawawa ndio msimamo wa serikali na sio lazima ukubaliane nao.
Mambo ya kuvaa na kupendeza hayana uzito kwenye hoja hii
Kuhusu alichosema, alijaribu distraction ya kijinga sana na watu wanaochambua mambo wameiona.Msemaji mkubwa kama huyu wa serikali anatakiwa kujua kwamba Tanzania ya leo kuna watu ukitaka kuwadanganya na kuleta distractions za kijinga watakuumbua.

Kwenye mavazi Tanzania hakuna standard ya mavazi inayoeleweka, kwa hiyo hata pa kuanzia kum judge siwezi.

Emmanuel Nchimbi alivyokuwa waziri husika alianzisha "Kamati ya Vazi La Taifa", kitu ambacho nilijua nikichekesho dakika nilipokisikia tu, na mpaka sasa watu wamekulahela za vikao sijasikia ilipoishia.
 
Utakua na matatizo binafsi na kawawa
Alichoeleza kawawa ndio msimamo wa serikali na sio lazima ukubaliane nao.
Mambo ya kuvaa na kupendeza hayana uzito kwenye hoja hii
Umeona hiyo Press conf? Aliulizwa tunadaiwa sh ngapi dah alipanic na kufunga kikao kwa jazba
 
Idara ya habari, waziri wa habari na Msemaji mkuu wa serikali na naibu wake kwa pamoja wako kwenye Karne ya 16 wakati Dunia iko kwenye Karne ya 21.

Najiuliza hivi Zamaradi Kawawa kapataje ile kazi? Nilidhani hawa watu wa PR Mara nyingi wana confidence na are always on top of things lakini sio Zamaradi. Alikuwa ni Zero kuanzia uvaaji wake mpaka presentation skills zake.

Hawezi kujieleza na idara nzima imeshindwa kuna na jibu la kueleweka kuhusu yanayoendelea badala ya kumshambulia Lissu?

Hivi kwa nini wasingemwaachia chief propagandist wa wizara ya miundombinu akajibu hoja za Lissu?

Haya ndio matunda ya wizara na idara za serikali kuogozwa na watu wenye fikra za ki stone age na wameshindwa kudapt na mambo ya 21st century.

Websites zao ni rubbish
Presentation zao ni mediocre
Arguments zao hazina substance

We are doomed

jf where we dare talk openly
Yaani mpaka Msukuma kaingilia kati lakini bahati mbaya yeye ndiye kagaribu kabisaaaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
One would have thought kuwa watu wenye majina kama haya walipata access to the best schools and education money can buy na waliandaliwa vilivyo kushika hizo nafasi

Another disgrace to the Kawawa Clan and family

jf where we dare talk openly
 
Mleta mada yuko sahihi ingawa Serikali inafanya vizuri na mambo yanasonga mbele. Hawa government employees hawana stadi (skills) kabisa za ku-respond correctly kwenye burning issues. Kimsingi kama Maelezo wangekuwa nanuwezo wa ku_respond correctly kwenye ngonjera za Lissu every thing would have ended up the next day past Lissu's allegations. Ndiyo, Zamaladi Kawawa ni incompetent lakini Dr. Mwakyembe is even more incompetent. Suala la uongo linalo_tarnish image ya Serikali lilitakiwa lifanyiwe kazi na wasaidizi wa makatibu wakuu wa wizara husika wakishirikiana na Maelezo halafu Mwakyembe ndiye alipaswa kuongea na Press kujibu ulaghai wa Lissu & Co., lakini wapi! Ndio Kwanza Mwakyembe yuko kwenye mdundiko wakati Zamaladi Kawawa akilikologa ili Serikali ilinywe. Mwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana Polisi wamemwachia Tundu Lissu baada ya kumweka ndani kwa saa "zao" 48........

Polisi "wameufyata" hivi wangempeleka mahakamani kwa kosa lipi, wakati tuhuma alizotoa Lissu kuwa Bombardier yetu imezuilwa nchini Canada kutokana na serikali yetu kudaiwa fidia kutokana na maamuzi ya kibabe yaliyofanywa siku za nyuma na aliyekuwa Waziri wetu wa Ujenzi zimethibika kuwa kweli?

According to msemaji wa serikali Zamaradi Kawawa ambaye aliconfirm kuwa ni kweli ndege yetu ya Bombardier inashikiliwa nchini Canada kutokana na serikali yetu kudaiwa!

Hayo ndiyo matatizo makubwa yanayolikabili Jeshi letu la Polisi kwa kufanya kazi kwa maagizo toka juu, badala ya kufanya kazi kwa weledi kwa namna taaluma yao inavyowataka ya kutotakiwa kuegemea upande wowote wa chama chochote cha kisiasa.

Wakati hivi sasa iko so obvious na hata ukimuuliza mtoto mdogo anayesoma chekechea kuwa unadani Jeshi la Polisi limeegemea upande gani?

Atakujibu papo hapo kuwa Polisi wetu wameegemea upande wa chama tawala!
 
Back
Top Bottom