makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,450
- 108,531
jamaa ni muwakilishi wa nchi fulani huko na hapo ni kwenye United Nations General assembly
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asije kuchafua kiti cha watu hapo kati.
Hiyo pembe ndo kuna gegedo si ndio? Akisimama anaishika? Afu ilivyopinda ndo hivyo hivyo? Yaani basi tu huo mkutano sijui uliishaje😂Waafrika wengine sijui tunakwama wapi, kudumisha Mila zetu....[emoji848]View attachment 1990812
unaita ushirikina kwa sababu kichwani tayari tumeisha pandikizwa ushirikina ulioboreshwa wa kimagharibi na kiarabu.Tatizo kubwa la Mila ni hili:
Lazima iambatane na imani za ushirikina/uchawi