Hizo za kumwaga Radhi..😅Mila zetu mkuuView attachment 1990821
Upuuzi wake uko wapi,
Yeye Yuko Kwenye asili yake![]()
hao hawadindishi hovyo kama sisi,nchini kwake wanawake wapo uchi maziwa na makalio nje kila mudaSasa hapo bahati mbaya akatokea pisi kali afu mzee akadinda inakuwaje tafarani yake ?!
Hiyo ni kujitoa ufahamu. Watu miaka hiyo walivaa hivi sababu hakukuwa na mavazi, dunia imeendelea wanadamu tunazidi kuwa wamoja why uhangaike na identity za kipuuzi kama hii ya kukaa uchi ili kuprove we ni wa tofauti na wakati hiyo ina maanisha umeamua kuwa na fikra mgando kwa jambo ambalo halina msaada kwako na kwa kizazi chako zaidi ya kukidumaza kisiendelee .
Mbona hakufuata asili yake wakati wa kwenda huko? Angepanda punda mbona anakweya pipa kwani Ni asili yake?Upuuzi wake uko wapi,
Yeye Yuko Kwenye asili yake![]()
Sio Mswati huyu. Ni wa Papua New Guinea kama sijakosea z nchi fulani iko Kaskazini mwa Australia ukivuka majiWaafrika wengine sijui tunakwama wapi, kudumisha Mila zetu....View attachment 1990812