Sasa hivi mmesahau. Match ya pili tukija wachapa mtaanza kutoa milio chief Mangungu andoke. Je kwa sasa aendelee au bado yupo yupo kwanza?
Tuambiane mapema nyie mikia. Maana yeye ndo huwa mnamwangushia Jumba bovu. Maana kwa sasa tumewapumzisha naye baada ya kuwaachia mpate ushindi hii match moja.