Chief Godlove ni mtu wa wapi?

Chief Godlove ni mtu wa wapi?

Ni mshamba mmoja hv alieziotea hela kiasi za 'masharti' anawavimbia wajinga na washamba wenzie huko isnta na tiktok... yaan kiufup ni limbukeni ! Sio kwamba nna muonea wivu hapana nyie fatilieni video zake huko mtajiridhisha.. unakuta kabeba mbwa wake kawafunga na minyororo ya kuvutia gari au mikanda ya mabegi alafu anawavimbia watu kuwa anaenda kuwanunulia mbwa wake gari crown kwa ajili ya kuendea beach au kwenda kuoga!

Nilichoka siku ingne kapost vyakula flan vya mbwa ambavyo ni very cheap food kwa mtu kama yeye anaevimba... watu walimchana sana aache ushamba. Kiufupi ni jamiii ya kina kinasa msukuma, yaan ni ile mtu hajawah kuwa exposure na maisha ya mjini alafu yupo huko uswekeni kaziotoe kaamua kuja nazo mjini so kila anachokiona cha thaman anawavimbia watu bila kujua kuna wengine wanakichukulia very cheap sana!

Mwisho: Jamaa hela zake ni za masharti kuwa haruhusiwi kuwa na mahusiano na mwanamke ndo maana sio rahisi kumuona ana hang na wanawake katika mtindo wa kutaka kuchakata mbususu, yaan yeye akichakata mbususu tu kaisha! Sasa utajiri bila kuchakata mbususu ni u mbululazzzz!
Eeeh
 
Salute iende kwenye mada, kiukweli hapa mjini Dar es salam kuna watu nadhani wanaishi maisha mazuri ni kama wako Dubai au New York .Binafsi nimekuwa chawa promax wakumfatilia huyu kijana anaejiita Chief Godlove kiukweli jamaa anakula sana bata hapa mjini licha ya umri wangu wa miaka 35 naona dogo kaniacha parefu sana kimaisha.

Kabla sijampa maua yake najua humu yupo au kuna jamaa zake wanaomjua nilitaka kujua jamaa anafanya biashara gani mpaka asumbue na magari makali na nyumba nzuri yaani nika kama hush pupp fulani mdogo natamani nijue background yake anipe na mimi hamasa nirudi Njombe na VW new model.

View attachment 2655836
Isije ikawa biashara ya bwimbwi
 
N swala la muda tu mpen miaka 5 turud kwenye huu uzi apa mtakua mmepata majibu... Kama sio kifo atakua kafilsika hata starlet hana au kapgwa ugonjwa mmoja wa hatar, Kijana pesa anayovuruga kwa spending n nying sana lkn hata kibanda cha mpesa hana ila pesa anayotumiabn hatar lkn ukiangalia sura yake kuna simanz imejfcha nyuma ya furaha yake
 
N swala la muda tu mpen miaka 5 turud kwenye huu uzi apa mtakua mmepata majibu... Kama sio kifo atakua kafilsika hata starlet hana au kapgwa ugonjwa mmoja wa hatar, Kijana pesa anayovuruga kwa spending n nying sana lkn hata kibanda cha mpesa hana ila pesa anayotumiabn hatar lkn ukiangalia sura yake kuna simanz imejfcha nyuma ya furaha yake
Naam
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom