Chidi Benz atoboa Pua..

aliimba wimbo na mzee yusuph pia.
 
Ndio ushoga unaanzaga hivi hivi. Wewe dume zima na midevu yako utatoboaje pua bwana? Halafu eti unajiita kioo cha jamii, huoni hata aibu? Unaifundisha nini jamii?
 
Safi sana ameweka alama ya vidole viwili ya chama chetu pendwa Pipozzzzz pawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…