Chid Benzi ahukumiwa miaka miwili jela

Chid Benzi ahukumiwa miaka miwili jela

Mimi sio kwamba namchukia chidi benz. Ila nachukia sana haya mambo ya madawa ya kulevya , na huwa naona ni bira mtu akikutwa na hatia akachukuliwa hatua kali sana. Lakini nashangaa sana kwa haya niliyoyasikia leo hii ,, au labda pengine ni sheria zetu ndio mbovu... Ipo haja serikali kupitia upya sheria za mambo haya ya madawa ya kulevya na udhibiti wake...

Wewe unasema kwa sababu hujawahi kuvuta hakuna starehe duniani kama hii
 
Khaa!! Bado waheshimiwa wabunge wetu wazee wa majani sasa
 
Kwa sheris hizi watu hawaachi ng'oo! Wangetakiwa kuweka hukumu ya kifungo bila fiani,laki tisa si hata kukopo unakopa.
 
fursa hiyo kwa clouds. lazima atashaini tu na kutunga muziki ambao utahit
 
Hebu tusaidie, sheria inasemaje juu ya adhabu kwa makosa kama ya huyo ndugu.
huyu hakimu hafai kabisa kuendelea kutoa hukumu takukuru wakichunga swala hili lazima kutakuwa na rushwa ya kufuru .
 
Back
Top Bottom