H HAKI KWA WOTE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2022 Posts 2,691 Reaction score 2,303 Oct 2, 2025 #1 Huo ndiyo ukweli huwezi kuwa na njaa ukapata ujasiri wa kuimiliki simu na kuilisha wakati wewe huna chakula. Bigup King Kong ujumbe umefika!!
Huo ndiyo ukweli huwezi kuwa na njaa ukapata ujasiri wa kuimiliki simu na kuilisha wakati wewe huna chakula. Bigup King Kong ujumbe umefika!!
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 15,850 Reaction score 36,144 Oct 5, 2025 #2 Yuko sahihi!
Choosen85 JF-Expert Member Joined Jun 22, 2022 Posts 2,190 Reaction score 5,045 Oct 5, 2025 #3 Wengne cm ndo inamfanya apate dili sa akiwa hana cm sa dili atapata wp si ndo atakufa na shda