Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,057
- 1,573
chidi mtofyo aka tumbili au chidi Hyundai I10enzi hizo mwenyewe alikuwa anajiita Chuma au Kingkong..nk.
sasa sijui sasa hv atajiita nani?
[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji5] [emoji5] [emoji1] [emoji2] [emoji3]
jinsi nilivyokuwa namuogopa kipindi hicho.. ila sasa simuogopi tena so akinizingua tuu nampasua vibaya sanaaa
KUDOS MWANAtaMADUNI AKA LUNDUNOHii verse ya one the creadible napenda kweli kuwaimbia wadogo zangu wanaochipukia hapa nyumbani iwe funzo kwao,"Upo macho kwenda resi na maisha,michakato ikienda fresh, upo fresh ikifeli UMEKWISHA,kheri imepita,kiukweli wengi WAMEKWISHA,ukifanya kweli fanya iwe kweli KIUHAKIKA",Kheri imepita maana yake upendo,ushirikiano na kuthaminiana hakupo tena huwezi mfanya mtoto wa mwenzio punda wa kubeba madawa,wengi wamekwisha kweli tumepoteza ndugu zetu wengi hata Chid kweli AMEKWISHA,fanya kiuhakika yani kama unasoma soma kweli,kama unaimba imba kweli Chid alichanganya kuimba na mambo mengine,kama unafanya biashara fanya kweli ili usiyumbe.
Sasa kwani huo ni uumbaji wa mungu au matumizi ya madawa? Mungu amekuumba vizuri unajiharibu harafu mnaanza kutaja uumbaji ni kweli?
Hujafa hujaumbika...Mungu hadhihakiwi na uumbaji wake hautukanwi
MSHKAJI kafanya dayati ya nguvu, wana wanalaumu wanadhani ni sifa kuwa kibonge kama PROF J AU SUGU............. BRAVo Chid Vitz ubonge siyo ishu, fanya sana kila saa kila nukta. tamati futi sita kwenda chini, tule pilau tukusahau MAREHEM.Sasa kwani huo ni uumbaji wa mungu au matumizi ya madawa? Mungu amekuumba vizuri unajiharibu harafu mnaanza kutaja uumbaji ni kweli?
Nafikiri hukuelewa tafsiri ya nilichoandika...fuatilia maisha yake kabla hajawa hivyo utajua nimemaanisha niniSasa kwani huo ni uumbaji wa mungu au matumizi ya madawa? Mungu amekuumba vizuri unajiharibu harafu mnaanza kutaja uumbaji ni kweli?
Kama sikosei Ray C aligombana na TID, naomba unisahihishe kama nimekosea
It's very easy to become number one than to maintain the statuAISEEE WAUZA MADAWA WAALANIWE KABISA,EBU SIKILIZA MA CRUNK YA CHID BENZ.
--------------------------------------------------------------------------------------------------------
Chid Benz--King Kong.
=====================
Yeah Yeah Yeah Haaaaaaaaa Huuuuuu Tanzania Tanzaniaa woh woh woh woh wohooooo
CLASSMATE Haaaa LAMAR haaaaa Yeah Kingkong Kingkong kingkong and king La La Haaa LA
FAMILIAAA,Kwanza mie ni gift toka kwa mungu babaaa(brrrr) usinipime kwa nukta mie sijai
kwenye kibaba,Pili watu mashabiki wamenikubali sio kwa uchawi wala ndumba bali ni kwa
yangu mistari,tatu mama mzazi mama amenijalia dua zake niwe pale nitapotaka mimi hata na
yeye pia,nne mie ni mkali tight level zangu hawanifikii nimewakamata nikawafunga nyoko
nyoko shhhhh siwasikii,tano vocal nnayo sauti inakubalika nikiunguruma tu mmhhhhhh
wanapotea nawafunika ona wameanza majungu tamu zangu kwao chungu mie nakubalika we
haukubali bishana na mungu mie im kingman king naetawala roho safi watu wangu hawasaliti
hata ukiwashikia risasii,kingman kingman ohhoooooo.
Chid Benz--Kama Unaweza(Chid Benz).
========================
Yeah Introducing Chid Benz Niggaaaa,Yeah Turn up the base,La Familiaaaaaa haaaaaa
Yeah you cant test me you cant mess me no no yeah hey hey hey hey hey yeah hey hey hey
yeah.(x3)
CHID FLOW yeah im flowing check mi narhyme nawakata vilimilimi CHID GO yeah im going
Na speed kali nawaacha nyuma bado winner mimi usibonye kabisa usipime mziki mziki mie
sichoki siogopi bado nipo fiti,BADO NAPATA HESHIMA MAFANS WA KILA AINA SILII NJAA NIPO
PEACE LINANILINDA JINA,wananisema vibaya jina langu kwenye misala bado wanashindwa kwa
mtoto wa ILALA masakala hawaamini uwezo wangu hawajui nipo hivi tokea tangu na tangu
(Brrrr) naamini uwezo wangu thus why me nipo mkimya sishangai kwanini sipishani na vina
toka BOP collabo na DT Chid Benz D-Man we rock on TZ.
mshana jr hiyo before mnafanana.
Hujafa hujaumbika...Mungu hadhihakiwi na uumbaji wake hautukanwi