Chid B new model

Awahi dose mwananyamala, zinarudisha watu walioamua kurudi. Ushahidi upo
 
Kama sikosei Ray C aligombana na TID, naomba unisahihishe kama nimekosea
 
Mgagi
 

Mkuu hata kumuua simba mgonjwa ni kazi pevu
 

Babylon shall never rise again.
 

Mkuu umenichekesha sana alikua mbabe akatoboa mpaka pua[emoji2] [emoji3]
 
Mwenzeni Chid B amepiga mazoezi amepunguza 'mafuta' mwilini mnamsemaaaa paka basi...haya mtaanza kumsema na Ray ahache kunywa 'maji' kisa ili arudie uweusi wake...Wabongo bana!!!!!!!!!!!!!!
 
Hii verse ya one the creadible napenda kweli kuwaimbia wadogo zangu wanaochipukia hapa nyumbani iwe funzo kwao,"Upo macho kwenda resi na maisha,michakato ikienda fresh, upo fresh ikifeli UMEKWISHA,kheri imepita,kiukweli wengi WAMEKWISHA,ukifanya kweli fanya iwe kweli KIUHAKIKA",Kheri imepita maana yake upendo,ushirikiano na kuthaminiana hakupo tena huwezi mfanya mtoto wa mwenzio punda wa kubeba madawa,wengi wamekwisha kweli tumepoteza ndugu zetu wengi hata Chid kweli AMEKWISHA,fanya kiuhakika yani kama unasoma soma kweli,kama unaimba imba kweli Chid alichanganya kuimba na mambo mengine,kama unafanya biashara fanya kweli ili usiyumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…