MNYAMAKAZI
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,118
- 2,199
Mkuu Mshana sifa ambazo huna zikianza sio dalili nzuri[emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Poda mkuu podaaaWhat the hell happen to this boy
Ha ha ha ha Asante, Ngada ni balaa kwakweli ghafla kawa kibabu akisimamama na Mzee kingunge basi Yeye ataonekana ni mzee Zaidi.Pamoja na poda na maji
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Ha ha ha ha Asante, Ngada ni balaa kwakweli ghafla kawa kibabu akisimamama na Mzee kingunge basi Yeye ataonekana ni mzee Zaidi.
Ngoja afe ili cc tujifunze kutoka kwake maana yy alishindwa kujifunza kutoka kwa mangwea na rayc wanasema tunajifunza kutokana na makosa ila ni ujinga kujifunzia makosa yako mwenyewe RIP
Kwahiyo akifa ndio mtajifunza kufa? Au kuacha ngada?!
!
Halafu nimekumbuka inshu moja hivi ya yeye na Ray C. Alimfata akampiga Ray C kwa madai ya kumsingizia anatumia madawa. Hakujua kutumia madawa ni sawa na kupanda mnazi uwani, itajitokeza tu. Kwa kweli na afe tu ili watu wajifunze toka kwako. Lakini pia nasikia mkuu wa kaya aliingilia kipindi kile alipotaka kufungwa akaachiwa. Kumbe bora angefungwa angejifunza kitu.
Kwahiyo akifa ndio mtajifunza kufa? Au kuacha ngada?
Kwahiyo akifa ndio mtajifunza kufa? Au kuacha ngada?
Nasikia faza hausi ndo alikuwa anawasaplaiya mizigo ila ndo ivo anawapa pumba ile unga halisi wanakula washua ndo maana cc tunachoka tunalushwa maunga dalaja la tatu ya kuliswa nguluwe tunalishwa cc kwa ufadhili wa faza hausi na msaada wa watu wa malekani ache wafe unga ukose soko!
!
Halafu nimekumbuka inshu moja hivi ya yeye na Ray C. Alimfata akampiga Ray C kwa madai ya kumsingizia anatumia madawa. Hakujua kutumia madawa ni sawa na kupanda mnazi uwani, itajitokeza tu. Kwa kweli na afe tu ili watu wajifunze toka kwako. Lakini pia nasikia mkuu wa kaya aliingilia kipindi kile alipotaka kufungwa akaachiwa. Kumbe bora angefungwa angejifunza kitu.
Vyote mkuu ila wasituambie kafa malaria wanazisingizia mbu tuKwahiyo akifa ndio mtajifunza kufa? Au kuacha ngada?
Haziachiki mama ukishaanza ndio ntoleeeKwani bado hajaacha tu
Je wasanii wanajifunza nn na wenzao wanao athiriwa na haya madawa ya kulevyaa??
Hujafa hujaumbika...Mungu hadhihakiwi na uumbaji wake hautukanwi