Chid B new model

Aliwahi kukiri Carlos santana kwenye wimbo wake "Black magic woman" alielezea kwa masikitiko the way madawa yalivyomwingiza kwenye njia mbaya ya maisha isio na mwelekeo alilalamika saana kwenye nyimbo ile.. inasikitisha saana.

Its a must listen song kwa wote addicted and non-addicted.
 
 
eeeeeh mmmmmmh aaaaaah oooooooh...eee Mungu msaidie chid benz jaman..mie namkubali sana...leo nimelia sana! hv mshana Jr...kwenye yale mambo yako ya kichawi hatuwez kumsaidia akawa anakosa ham ya kutumia hayo masembe jaman!? iiiiiiiiiii eeeerrrrr mmmmmh! Chid badilika bado muda upo upande wako! WALE WANAOTENGENEZA NA KULETA..Eee Mungu sema nao kwa maneno ya uchungu!
 
Huyu jamaa Ni yy kweli au, sababu inasikitisha amekuwa wapi mpaka amesambaratika ndio anaomba msaada, vp amecheck viwavi????
 
Jiachie ruka kama unavyopenda.....nawateka kwa verse ya kwanza....La Familia Ilala Classmate Lamar King kong kwanzaaa mie na kipaji toka kwa mungu baba napata heshima fans wa kila aina silii njaa nipo peace linanilinda jina....way back 2005 modi bizeee.
 

Shukrani kwa lyrics hizi mshana jr .

Jamaa aliijua saana sanaa ya muziki maana alitumia lugha ya picha kuyazungumzia madawa ya kulevya kama mwanamke mzuri ambae ndie huyo Black magic woman ambae jamaa anampenda na ameshindwa kabisa kumuacha sababu kamroga jamaa.

Ila kama unavyojua warahibu wengi wa madawa ya kulevya wengi huwa hawataki kukubali kwamba madawa yameathiri maisha yao, that's why hata Santana alitoa wimbo huu miaka ya 80's na watu wakajua ni ishu ya mapenzi kumbe malalamiko juu ya kushindwa kuchomoka kwenye urahibu wa madawa ya kulevya.

#saynotodrugs.
 
Yeah kwa mtu asiyejua ishu za madawa atadhani huu wimbo ni ishu za mapenzi
 
alikuwa jembe huyu jamaa..chiz benz chid soo..pakavu na tereza..mlio wa vuuu na honda..spirit na kidonda....
lakini alipata mpunga akajifanya yeye ndio yeye..kamtukana mpaka Lowassa maana yeye chid alikuwa na afya bora lowassa mgonjwa..sasa leo nani ana afya bora na kati ya mzee Lowassa na kingkong chuma wa Ilala Chid benz
tukipa visent na kuanza kuvuta mibangi tusijisaau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…