Chibok: Miaka Miwili Baadaye

Hawa boko haram wenyewe ndo maharam....
ukiangalia walio tekwa na kuumizwa ni wa dini yao sasa kama sio uharamu huo ni nini? Ni Mungu yupi wanampigania kama sio ushetani tu..... wawachukue JWTZ wakasafishe huo msitu....


hapa inaonesha kuna siri imejificha...Kama ingekuwa ni uislamu wangeheshimu msikiti, na hao mabinti wa kiislam wangewaacha lakini boko haram hawaangalii hilo. Zile zama za Freemason kutawala dunia ndizo hizi...kuna mikono ya watu ambao wanapenda damu zimwagike ili wapate lao......

Ktk hii dunia kuna viumbe waajabu sana, wengine wanapenda tuu kuua, wengine wanapenda tu kuona mtu akiteseka wengine wanapendak uona damu.

Ni kama Marekani wengi wameathirika sijui na nini utakuta mtu anatamani tuu kuua au kumtesa mtu alafu akimuua anamzika katika uwa wake, au chini ya nyumba.
 
Ingewezekana kama nchi za Islam zingekuwa super power ila Yemen wanapata cha moto kutoka kwa saud arabia
 
Ingewezekana kama nchi za Islam zingekuwa super power ila Yemen wanapata cha moto kutoka kwa saud arabia
Sasa ndio umeandika Uharo gani hapa!
Unajua Saudi wanapigana na Watu gani!
Hio vita iliokuwa huko Yemen Unajua hata chanzo chake!? Nj kina nani wanapigana Na Nani, basi Kuropoka tu kwa sababu mdomo mali yako.

Waislamu hatuna tabia ya Kuvamia Nchi za Makafiri na Kuua watoto na wanawake Ovyo. Hio ni kazi ya Makafiri km USA na ISRAEL.
Ndio maana Huwezi kukuta Nchi ya Kiislamu imekalia Kimabavu Nchi yyt isio ya Kiislamu Hata km Ni Nchi njaa km hii ya Kwetu. Lkn Makafiri Wanavania Killa Penye Pesa bila kujali Wanaua wangapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…