Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,590
- 28,761
Anavunja mifupa bado meno iko.....Wacha mucheso weye
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Atakua anakavutia upepo kanza kale vizuri karudishe nyama kama zamani ..akajitafunie kiulainiii..........kwn kale kaactress c kametoka tayar au nae hatak tena kaigizaj, labda kanamuactia........tenhe tenhe tenhe
Ni mali balaa,,bahati mbaya tu hapa kuna kamera angekamatia kabisa...Ahahahahahah, kumbe LE KAPTEN naye mbaaaaaaaya kwa kucheza enheee!!
mtu anayecheza hivi ni wazi haezi kua na busara na hikma inayostahiki kuwakilisha vyema mawazo ya wapiga kura/