Chezeya ccm weye

Chezeya ccm weye

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,590
Reaction score
28,761
Hapa ni mwendo wa viduku tuu...si wakimaliza wanalipwa POSHO.....

View attachment 80016
attachment.php
 
Mr Rocky nilielezwa na Daktari wangu njia mojawapo ya kupunguza "stress" ni kuchangamana na tabaka la chini kama kupiga story na walevi kilabuni, vikundi vya ngoma kama afanyavyo huyo Muindi
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky nilielezwa na Daktari wangu njia mojawapo ya kupunguza "stress" ni kuchangamana na tabaka la chini kama kupiga story na walevi kilabuni, vikundi vya ngoma kama afanyavyo huyo Muindi

Mkuu Ndachuwa kuna kujichanganya kwa kupenda yaani unapenda wewe mwenyewe kukaa na watu wa tabaka la chini unawasikiliza story zao na kubadilishana na mawazo
Huyu jamaa hapo hajapenda na wala haitoki moyoni mwake ila kwa kuwa kuna anachopigania ndo maana ameamua kujichanganya na hao watu
 
Last edited by a moderator:
mbona picha ipo ni nyie tu na macho yenu labda mambo ya konyagi hayo picha ipo fullu
 
Back
Top Bottom