Chezea Zuma wewe

No wonder anadharauliwa na raia wa south africa. Nakumbuka siku ya msiba wa Madiba alivozomewa na wananchi wake huku Obama akishangiliwa as if ndo rais wao. He is just extravagant and corrupt, knowing nothing about leadership except marrying, dancing, singing and drinking.
 
ni kawaida ya waafrika kudharau vya ndani na kushabikia vya nje
 
ni kawaida ya waafrika kudharau vya ndani na kushabikia vya nje
Hicho kitu kingeweza kutokea kwa Madiba mwenyewe au Nyerere?. Ukijidharau utadharauliwa, ukijiheshim utaheshimiwa.
 
Dotworld Usidandie train kwa mbele..rudi kwenye post ya kwanza utaelewa nilichokuwa namaanisha
 
Last edited by a moderator:
Dotworld Huyo mwe suti anacheza au kuna kitu ananyatia..
 
Last edited by a moderator:
DotworldSina swali yaani ZUMA ni noma kwa ngoma za kwao pia hajivungi kabisa hasa hapo kapiga utamaduni kama sio Rais
 
Last edited by a moderator:
DotworldSina swali yaani ZUMA ni noma kwa ngoma za kwao pia hajivungi kabisa hasa hapo kapiga utamaduni kama sio Rais
 
Last edited by a moderator:
Zuma ni Rais mwenye kupendwa sana kule Afrika ya Kusini pia ana ushawishi mkubwa sana hata akaweza kumwondoa Thabo Mbeki kwenye nafasi ya kuwa M/kiti wa ANC,pia Rais Zuma ana elimu ya kawaida tu kule kwao lakini ni mchapa kazi sana pia mila na tamaduni ndiyo mpango mzima kwake kama anavyoonekana kwenye picha hizo.
 
nani atao[poa mzungu hapo kati ya hao watani zangu wawili? Dotworld
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…