chezea pilau wewe

hahahhahahah!!!!!!!!!!
kweli siasa kazi
 
Kazi kweli kweli hii ndo Siasa yani hapo kufanya hivyo kote ili waonekane wako karibu na wananchi na si hawa tu hata wale wa upande mwingine pia.
 
ha ha ha ha ha sawa kabisa hiyo nimeipenda wangewakalisha chini kabisa.....
 
Hahahah nimemuona mzee wangu mmoja aisee hii pic umeipata wapi? Ngoja nidownload nimforwadie acheke!
 
wadau wanashambulia pilau mama wa hapo pembeni kasogezewa bakuli la maharage anawashangaa tu
 
Haaaa,,,,, nilijua pilau kweli????? wengine waroho tunapenda vitam japo kwa picha usiwe unatutishia bana!!!!!!!!!!!!!!
 
Huyo mdingi mwenye uwalaza anahisi kama anapunjwa vile...

Yaani wanavyokishambulia hicho kiporo napata picha halisi namna wanavyoshambulia fedha za ufisadi...kama mbwa mwitu watawanyavyo viungo wa mawindo yao vile.
 
.......Xxxxx........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…