Chezea pesa ila usicheze na mahusiano

Chezea pesa ila usicheze na mahusiano

Labda kwa waume matajiri lakini sio mume mlevi anaweza mwambia mke wake wa miaka 40 nilikuwa na genye tu ndio maana nikakuowa. Kwendaaaa zako huko na lisula lako baya

Ndukiiiii
Acha libaki fundisho kwetu sisi.

"Tumia komoni sensi"
 
Labda kwa waume matajiri lakini sio mume mlevi anaweza mwambia mke wake wa miaka 40 nilikuwa na genye tu ndio maana nikakuowa. Kwendaaaa zako huko na lisula lako baya

Ndukiiiii
Sio kws wanaume matajiri ni kwa MTU yyte mwenye akili timamu.

Mlevi aliyelewa ni nusu chizi kwa hiyo sio kwa kuamini sana maneno yake.

"Tumia komoni sensi"
 
Me mwenyewe ni mfano hai wa scenario hiyo.

Hakika sitosahau yalionikuta 10 years back. I swear niliyumba vibaya mno!! Mambo yangu mengi sana yaliharibika vibaya mno.......

Haya mapenzi jamani, tuyaache tu kama yaliyo. Kikubwa tumtangulize tu Mungu, katika maisha yetu.
Funguka mkuu ili wengine tujifunze.
 
Kuna ukweli kabisa ingawa wasokuwa na pesa km mimi wanahisi ukiwa na pesa ata faraja utaipata, tafuteni pesa mtakuja kumwelewa mtoa mada
 
Mwanaume akiachwa na mwanamke 90% anaweza kuzorota kiafya na matatizo mengine mwanaume moyo wake hua hauwezi kuhimili mikiki mikiki ya mwanamke kumuacha ila mwanamke anaweza kimbiwa na mwanaume miaka hata 10-15 lakini aka survive vizuri tu..
 
Labda kwa waume matajiri lakini sio mume mlevi anaweza mwambia mke wake wa miaka 40 nilikuwa na genye tu ndio maana nikakuowa. Kwendaaaa zako huko na lisula lako baya

Ndukiiiii
 
Back
Top Bottom