Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,550
Sijasema hivyo.Unataka kutuaminisha kuwa mapenzi na pesa muhimu ni mapenzi....una matatizo wewe
Mleta mada nimekuelewa sana, kwa mfano tu Melaine Trump aamue kuondoka Donald ata shake vibaya mno.
Mapenzi ni maisha.Pesa bhana mapenzi ndio nini!
Kwa nini mkuu?Uyo mzee kwa akili hiyo hakustahili kua tajiri
Sana tu...stress za kuachwa ni mbaya sana. Ndio maana kina wenhgne akiona dalili za kuachwa huamua kumuacha mapema ili asionekane kaachwa.Mleta mada nimekuelewa sana, kwa mfano tu Melaine Trump aamue kuondoka Donald ata shake vibaya mno.
πππWewe mwenyeee ukiondoka mm najifia
Hili za Zari linasikitisha mno hata mwenyewe ninadhani linamtesa sana.Sana tu...stress za kuachwa ni mbaya sana. Ndio maana kina wenhgne akiona dalili za kuachwa huamua kumuacha mapema ili asionekane kaachwa.
Yaweza kuwa isingekuwa Zama kumuacha muongoza njia labda hadi Leo angekuwepo. Au yaweza kuwa Zari asingemuacha Ivan yaweza kuwa hadi Leo angekuwepo. Stress zinashusha sana kinga ya mwili.
"Tumia komoni sensi"
Ndoa ya watu wawili, wewe chanzo cha ugomvi unajua ama ulijua ni nini? Unajua kwanini alimuacha? Na unajuajePesa ina umuhimu mkubwa sana katika kuleta mahusiano mazuri ila pesa pekee yake kamwe haiwezi dumisha mahusiano.
Jirani yangu mzee Joseph ana pesa za kutosha. Anamiliki miradi mingi sana. Kuna kipindi alikosana na mkewe mama watoto wake. Sikujua chanzo cha ugomvi ni kipi ila nilichokuja kujua ndoa yao imevunjika na mwanamke akaanza kuishi anapopajua na akawa ameshapata mwanaume mwingine. Hali ya mzee Joseph ilianza kuzorota na haikuchukua miezi minne mzee wa watu aliaga dunia.
Wapo watu mashuhuri wengi tumeshuhudia wote namna gani afya zao zilivyozolota mara baada ya kuachwa na wake zao au waume zao bila kutegemea na badae afya zao zilizolota na hawakuchukua muda wakaungana na wafu.
Usicheze na mapenzi, mapenzi yanaua. Kamwe usidhanie kuwa uliyenae hawezi kukuacha eti Kwa sababu wewe ni tajiri, ni mtu mashuhuri, umeshakuzalia watoto...usijidanganye unaweza achwa na stress zikakuua.
Jamani tuchezeeni pesa, mapenzi tuyaheshimu.
"Tumia komoni sensi"
ASANTENI
Ukweli mtupu mkuu[emoji848][emoji848]kuna kaukweli.
Chanzo cha ugomvi sikujua ila kuachwa kwao nilijua.Ndoa ya watu wawili, wewe chanzo cha ugomvi unajua ama ulijua ni nini? Unajua kwanini alimuacha? Na unajuaje