Chezea Panga Wewe....!!!???

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
CHEZEA PANGA WEWE!!?? Jamaa1 aliingia msikitin na panga mkonon huku jasho likimtoka, akauliza"nani muislamu humu ndani? Wote wakauchuna. Jamaa akurudia tena "nauliza nani muislamu humu au hamsikii? Wote kimyaa. Jamaa akamshika mkono muumini mmoja aliyekuwa karibu ya mlango akatoka nae nje. Njiani akamwambia "naomba unichinjie mbuzi wangu, leo nitakuwa na wageni waislam kwangu".Yule muumini akamchinja yule mbuzi ila akamwambia "sina ujuzi wa kuchuna ngozi, labda ukamchukue mwingine". Jamaa akarudi tena msikitini na panga linavuja damu. Imamu kuona hivyo tu, akasema TUMSIFU YESU KRISTO! Wote MILELE AMINAA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…