Chezea muosha magari wewe

Pole ila baadhi ya yenu nyinyi mabinti mmekaa kudanganyika tu
 
Kila mmoja na mbinu zake za mafanikio. Na ili akupate ilimbidi aendane na moyo wako unavyoerekea. Vumilia tu huku ukimtafuta na Mungu wako
 
Ulipoona magari akili yako ikatafakari kuhusu pesa ukafunga kabisa uwezo wako wa kufikiri wa ki graduate sasa leo umeujua ukweli ndo unakuja kutuomba ushauri. Angekuambia ukweli ungemkataa...Ukomeeeee unalo hilo babuuu.. Na bahati hajakudungaa na mimba....
 
Unanikumbusha mwalimu Jackson alimdanganya Martha ni mfamsia kumbe ni mwalimu Wa dhule ya msingi kagogwa Hahahahahaha akala mzigo
 
Awe mpole tu..... Hivi 20% yule aliyewahi kuimba wimbo wa TAMAA MBAYA yuko wapi siku hizi??[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Siku zote mwanamke mwalimu wake kipofu!!!!! sorry nalog off
 
Siku zote wanawake hawasikii ukweli, usijiroge Kuwa mkweli kwa mwanamke, hawezi kukuelewa hata siku moja..... Masikio ya mwanamke husikia uongo,, na ukiwa muongo mwanamke hijisikia raaaaha kama vile unamwimbia kwa zeze.... Jamaa amewasoma tabia zao, na atakua anawaburuza saaana. UONGO +KUJIAMINI.. Mke hachomoi.
 
Ngoja na mie nkaoshe magari au nikawe fundi magari maana ntakuwa na drive mikoko eday.
Ntawamegaje wa kila rika na kila aina wa vyuo na waofisini. Aishi milele aliyetengeneza magari!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…