Chezea muosha magari wewe

Chezea muosha magari wewe

Yaani kuna mdada kanitumia meseji juzi anataka ushauri nimebaki nimeduwaa sina la kusema kabisa. Ninachoweza kusema ni kuwa sasa nina uhakika wa ule msemo wa wahenga kuwa Kupenda Upofu. Hebu na nyinyi hebu someni wenyewe mi nakaa pembeni.
Anko habari yako,
Vipi mzima? Anko huu ni mwezi wa nne toka nimeolewa, yaani tayari najilaumu sana kuhusu ndoa hii. Kiukweli najuta sana. Kabla ya kunioa mume wangu alikuwa anakuja kwangu kila siku na gari jingine, akanambia kazi yake ni dalali wa magari, na akaniahidi kuwa na mimi ataninunulia gari ili nisiwe na tatizo la usafiri. Niliongeza mapenzi kwake ili asijekusahau kunipa gari. Uchumba wetu ulichukua miezi mitatu kisha tukaoana katika ndoa ambayo mpenzi wangu alisema tufanye kakitu kadogo tu kakisiri tusiharibu pesa. Ndugu zangu walininunia lakini mimi sikujali. Kwa kuwa nilikuwa na chumba kizuri katikati ya mji, ilionekana maisha tuanze kwetu maana mume wangu akisema alikuwa akiishi na mama yake nje ya mji, aliyekuwa akimkataza asipange chumba. Huwezi kuamini Anko, si juzijuzi tu ndio nimegundua kumbe nilikuwa nadanganywa siku zote, kumbe mume wangu kazi yake ni kuosha magari, hana udalali wala nini. Kuna kijiwe chao kando yam to wanaosha magari mchana kutwa sasa akiachiwa aoshe gari basi ndio huzunguka nalo na ndipo alipoweza kunidanganya nikaingia kingi. Kwanini alinidanganya vile? Si angenieleza tu ukweli nijue? Ntaendeleaje kumuamini sasa? Mbaya zaidi mi nimemaliza chuo kikuu na nimegundua kuwa jamaa hakumaliza hata fom tu, Anko what do I do? Wenzangu walikuwa wananicheka nilikuwa siwaelewi. Nilikuwa kila siku napiga picha niko kwenye gari tofauti nazituma instagram, jamani watu wakigundua si ndio watanichamba mwaka mzima? Ndugu zangu walinionya kuwa wanamuona jamaa tapeli nikagombana nao sana, narudije kwetu? Anko nipe ushauri.
Hata mimi sijui nimwambieje huyu mdada, hivi alikuwa fala kiasi gani hakuona kuwa anatapeliwa?
Huyo nae mwendo kasi kweli...yani kamaliza chuo kikuu na Jinsi alivyoandika? Na yeye ni tapeli tu
 
Hii ni shida!! Mbuzi kafia kwa muuza supu
Embe dodo chini ya mpapai
Dada zangu mwanaume anavyokuja kwako tumia muda kufanya uchunguzi siyo mnatazama tu vitu tu bila kujua amevipata vp.
Maji ushayavulia nguo shart uyanywe ata kama ni baridi endelea tu mama na ndoa yako
 
Mtengeneze awe dalali kweli wa magari au aje kununua gari.

Wasichana wakiona gari sijui wanakuwaje.
 
Yaani kuna mdada kanitumia meseji juzi anataka ushauri nimebaki nimeduwaa sina la kusema kabisa. Ninachoweza kusema ni kuwa sasa nina uhakika wa ule msemo wa wahenga kuwa Kupenda Upofu. Hebu na nyinyi hebu someni wenyewe mi nakaa pembeni.
Anko habari yako,
Vipi mzima? Anko huu ni mwezi wa nne toka nimeolewa, yaani tayari najilaumu sana kuhusu ndoa hii. Kiukweli najuta sana. Kabla ya kunioa mume wangu alikuwa anakuja kwangu kila siku na gari jingine, akanambia kazi yake ni dalali wa magari, na akaniahidi kuwa na mimi ataninunulia gari ili nisiwe na tatizo la usafiri. Niliongeza mapenzi kwake ili asijekusahau kunipa gari. Uchumba wetu ulichukua miezi mitatu kisha tukaoana katika ndoa ambayo mpenzi wangu alisema tufanye kakitu kadogo tu kakisiri tusiharibu pesa. Ndugu zangu walininunia lakini mimi sikujali. Kwa kuwa nilikuwa na chumba kizuri katikati ya mji, ilionekana maisha tuanze kwetu maana mume wangu akisema alikuwa akiishi na mama yake nje ya mji, aliyekuwa akimkataza asipange chumba. Huwezi kuamini Anko, si juzijuzi tu ndio nimegundua kumbe nilikuwa nadanganywa siku zote, kumbe mume wangu kazi yake ni kuosha magari, hana udalali wala nini. Kuna kijiwe chao kando yam to wanaosha magari mchana kutwa sasa akiachiwa aoshe gari basi ndio huzunguka nalo na ndipo alipoweza kunidanganya nikaingia kingi. Kwanini alinidanganya vile? Si angenieleza tu ukweli nijue? Ntaendeleaje kumuamini sasa? Mbaya zaidi mi nimemaliza chuo kikuu na nimegundua kuwa jamaa hakumaliza hata fom tu, Anko what do I do? Wenzangu walikuwa wananicheka nilikuwa siwaelewi. Nilikuwa kila siku napiga picha niko kwenye gari tofauti nazituma instagram, jamani watu wakigundua si ndio watanichamba mwaka mzima? Ndugu zangu walinionya kuwa wanamuona jamaa tapeli nikagombana nao sana, narudije kwetu? Anko nipe ushauri.
Hata mimi sijui nimwambieje huyu mdada, hivi alikuwa fala kiasi gani hakuona kuwa anatapeliwa?
pole sana ndo umeingizwa mjini peupeeee
 
WEKA PICHA NA SAMARI YA HII INSHA!

teh teh , umenikumbusha mdada mmoja hivi,
alikua graduate anadream big,
jamaa akamdanganya anafanya ofisi fulani ni akitaka anaenda ofisini anamkuta jamaa nje ya ofisi wanaongea bila tabu,
baadae mdada akaona anamfaa akajilengesha mimba,
alipokaribia kujifungua jamaa kumpeleka kwa mama mkwe ndiyo kupata habari zote za jamaa,
kumbe aliacha shule form two ni mission town,
hela muda mwingine anatumiwa na wazazi na mengineyo.
bibie akakimbia kimya kimya.
Mweeh... Bidada analea mwenyewe sasa?
 
Aaah hii ni porojo yani mtu amalize chuo kikuu halafu anaandika

What do I do?? Asee hiyo itakuwa choo na siyo chuo
 
Ndio tatizo LA madada wa mjini una penda gari au magari badala ya kuangalia MTU mwenyewe sasa acha apende hayo magari sasa koz hmna mapenzi ya dhati MTU ana angalia mkwanja tu acha ale jeuri yake koz ndege mjanja hunaswa kweny tundu bovu hapo bado mimba tu
 
Yaani kuna mdada kanitumia meseji juzi anataka ushauri nimebaki nimeduwaa sina la kusema kabisa. Ninachoweza kusema ni kuwa sasa nina uhakika wa ule msemo wa wahenga kuwa Kupenda Upofu. Hebu na nyinyi hebu someni wenyewe mi nakaa pembeni.
Anko habari yako,
Vipi mzima? Anko huu ni mwezi wa nne toka nimeolewa, yaani tayari najilaumu sana kuhusu ndoa hii. Kiukweli najuta sana. Kabla ya kunioa mume wangu alikuwa anakuja kwangu kila siku na gari jingine, akanambia kazi yake ni dalali wa magari, na akaniahidi kuwa na mimi ataninunulia gari ili nisiwe na tatizo la usafiri. Niliongeza mapenzi kwake ili asijekusahau kunipa gari. Uchumba wetu ulichukua miezi mitatu kisha tukaoana katika ndoa ambayo mpenzi wangu alisema tufanye kakitu kadogo tu kakisiri tusiharibu pesa. Ndugu zangu walininunia lakini mimi sikujali. Kwa kuwa nilikuwa na chumba kizuri katikati ya mji, ilionekana maisha tuanze kwetu maana mume wangu akisema alikuwa akiishi na mama yake nje ya mji, aliyekuwa akimkataza asipange chumba. Huwezi kuamini Anko, si juzijuzi tu ndio nimegundua kumbe nilikuwa nadanganywa siku zote, kumbe mume wangu kazi yake ni kuosha magari, hana udalali wala nini. Kuna kijiwe chao kando yam to wanaosha magari mchana kutwa sasa akiachiwa aoshe gari basi ndio huzunguka nalo na ndipo alipoweza kunidanganya nikaingia kingi. Kwanini alinidanganya vile? Si angenieleza tu ukweli nijue? Ntaendeleaje kumuamini sasa? Mbaya zaidi mi nimemaliza chuo kikuu na nimegundua kuwa jamaa hakumaliza hata fom tu, Anko what do I do? Wenzangu walikuwa wananicheka nilikuwa siwaelewi. Nilikuwa kila siku napiga picha niko kwenye gari tofauti nazituma instagram, jamani watu wakigundua si ndio watanichamba mwaka mzima? Ndugu zangu walinionya kuwa wanamuona jamaa tapeli nikagombana nao sana, narudije kwetu? Anko nipe ushauri.
Hata mimi sijui nimwambieje huyu mdada, hivi alikuwa fala kiasi gani hakuona kuwa anatapeliwa?

Khaa, kwani wewe umeolewa na kazi yake au umeolewa na mtu. Sikulijua hili kwamba kuna wanawake huolewa na kazi za waume zao!
 
Hahahaa mmoja alipenda kweli ikabidi atembelee gari za watu
Mwingine ni mpenda maisha mazuri tu na penzi la kweli alikua hana
Sasa hakuna namna ni kuishi tu na kuzalishwa maisha yaendelee ye na kazi yake na we ukatafute ajira serikalini huko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom