chezea mmbongo wewe

chief72

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
625
302
m-bongo mmoja mweusi tiii, alitinga disco huko ulaya akiwa uchi wa mnyama,
wazungu walipomuona walivunjika sana mbavu
ila mzungu mmoja akamfuata m-bongo na kumwambia kaka umependeza sana ila tai umefungia chini mno
 
Umenikumbusha story hii;
mtu mmoja alikuwa anakata gogo (aka kupoh/kujisaidia) porini akiwa uchi kabisa.
basi wanyama walipomwona huyo mtu walitimua akiwemo simba.
Basi sungura akamuuliza simba sababu ya yeye dimba (ambae ni mfalme) kukimbia.
simba akiwa anakimbia akajibu:
Tangu kuzaliwa kwanhu sijaona mnyama mwenye mkia mbele.
 
ebana leo nimecheka vitu viwili.
1.Tai umefunga chini.
2.Mkia mbele.

ha ha ha ha ha
 
Umenikumbusha story hii;
mtu mmoja alikuwa anakata gogo (aka kupoh/kujisaidia) porini akiwa uchi kabisa.
basi wanyama walipomwona huyo mtu walitimua akiwemo simba.
Basi sungura akamuuliza simba sababu ya yeye dimba (ambae ni mfalme) kukimbia.
simba akiwa anakimbia akajibu:
Tangu kuzaliwa kwanhu sijaona mnyama mwenye mkia mbele.
khaaahaaa............
hii ndio imetisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom