Chezea last seen(must read)

Chezea last seen(must read)

geek_girl

Member
Joined
May 26, 2013
Posts
55
Reaction score
14
FACEBOOK (inbox)
Boy: mambo mpenzi
Girl: (seen 3 minutes
ago)
Boy: vipi tafadhari nijibu mpenzi
Girl: (seen 2 minutes
ago)
Boy: lakini kwa nini unaniumiza??
Kwa nini haunijibu?
Girl: (Seen 3 minutes
ago)
Boy: sawa usiku mwema mpenzi,
Nilikuwa nataka kukwambia kwamba nimepokea mshahara wangu wa Laki 5 na nimekuandalia Laki 1 Kwa Ajili Ya Shopping Yako.
Girl: Wow! Kweli? Safi tunaweza kwenda mda huu?
Boy: (Seen 3 minutes
ago)
Girl: jamani nijibu mimi mpenzi, sikuwa online mda uloisha, Lini Tutaenda mpenzi?
Boy: (Seen 2 minutes
ago)
Girl: Najuwa Upo Online Lakini Hautaki Kunijibu, hebu nijibu plz
Boy: (Seen 3 minutes
ago)
Girl: ok sawa usiku mwema nitakuona kesho
 
umeona enhe
 
karibu jf. next time usikurupuke
 
wizi mtupu! kazi ya mjinga ni kuumia na wajinga ndio waliwao lakini pia unaliwa kabla ya kula.....! ama kuna uliwe
 
FACEBOOK (inbox)
Boy: mambo mpenzi
Girl: (seen 3 minutes
ago)
Boy: vipi tafadhari nijibu mpenzi
Girl: (seen 2 minutes
ago)
Boy: lakini kwa nini unaniumiza??
Kwa nini haunijibu?
Girl: (Seen 3 minutes
ago)
Boy: sawa usiku mwema mpenzi,
Nilikuwa nataka kukwambia kwamba nimepokea mshahara wangu wa Laki 5 na nimekuandalia Laki 1 Kwa Ajili Ya Shopping Yako.
Girl: Wow! Kweli? Safi tunaweza kwenda mda huu?
Boy: (Seen 3 minutes
ago)
Girl: jamani nijibu mimi mpenzi, sikuwa online mda uloisha, Lini Tutaenda mpenzi?
Boy: (Seen 2 minutes
ago)
Girl: Najuwa Upo Online Lakini Hautaki Kunijibu, hebu nijibu plz
Boy: (Seen 3 minutes
ago)
Girl: ok sawa usiku mwema nitakuona kesho

inaumaga hiyo unaona seen lakini ujibiwi.kiwatengu hebu chungulia huku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom